Baadhi ya single mothers wenye pesa chanzo cha kuvunja ndoa za watu

Hata wanaume wanawatafuta sana wake za watu, wanadai mke wa mtu hakupi pressure.
 
Wazivunje tu, ni Jambo Jema sana!! Kama mwanamke haoni thamani ya Mume na ndoa yake, na kuna single Mama anateseka, kuna shida gani?
Kama huko nyumbani nikekele tu! bora kuhamia kwenye mtandao wenye 5g ambako muda wote mnara unasoma
 
Sasa kama wake wa ndoa wana maringo, kejeli, vijembe na dharau kwa nini nisiende tulizana na single mother nipate amani ya moyo
Uchokozi mnauanza nyinyi wakati mwingine.
 
Mbona wengine hatuwapati hao masingle mother wanaohonga ..

Basi kumbe wenzetu wanafaidi hivi..
Tafuta single mother mbunge au mfanyakazi wa TANAPA, BOT,TRA
Ufaidi uroda na pesa. Ila uwe yes man maana Wana vijisheria kandamizi Sana, chapili uwe bingwa wa kukanyagia ikibidi tumia vumbi pendwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…