FrediusSnowden
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 269
- 225
Utangulizi
Kabla ya kufanya uchambuzi huu wa wazi na kujikita ndani kabisa kuna mambo ya msingi ya kujiuliza kabla ya kuchimba Zaidi, kwanza fahamu kwamba kutafuta ukweli juu ya jamii yako au dini yako sio dhambi ni moja kati ya njia ya kujitambua na kumwamini Mungu wako wa Kweli. Kama unawasiwasi sana naomba ujikaze na uwe tayari kujibu maswali haya.
Watu Weusi wakifanya kazi kama watumwa Misri
1. Unajua nini juu ya jamii yako kama mwafrika?
2. Kabla ya biashara ya utumwa wazazi wako walikuwa wa asili hiyo uliyoko?
3. Je Katika jamii yako kuna watu ambao walikuwa wanafanya kazi za ubunifu kama kutengeneza zana za Kilimo, kufua chuma nk?
4. Je jamii uliyoko unajua nini juu ya mababu wako?
5. Je unafahamu kizazi cha nne nyuma ya hiki ulichopo?
6. Je Mababu zako walikuwa wanamwabudu Mungu yupi kabla ya wakoloni?
7. Je majina ya asili yako kwanini huyatumii kama unayatumia kwanini una jina la kizungu?
Kwa maswali hayo baadhi unaweza kugundua kuwa moja kati ya siri kubwa zinazofichwa ni juu ya historia ya mtu mweusi (Waafrika).
Sent using Jamii Forums mobile app