Baadhi ya swali ya kujiuliza ilikugundua ukweli wa asili yako

Africa was way ahead of the rest of the worl before we came into contact with the evil white man

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Africa was way ahead of the rest of the worl before we came into contact with the evil white man

Sent using Jamii Forums mobile app
how comes to be ahead halafu mtu mwingine aje akupumbaze then ashift mind yako kwatika negative axis deviation ..??

is that true..

?? kama unaamini hivo basi wale ndo walikuwa juu yako zaidi..

Hivi mtu kama umemzidi maarifa atakupumbazaje sasa..??

think more on that broo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulio na Akili hatuna maamuzi, wenye maamuzi hawana Akili. Kilichobaki jijue ujilinde.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo kama Mimi mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mashuleni tunafundishwa theluthi tu ya kile tunachotakiwa kukijua mengine kapuni. Naamini sisi Waafrika tunaweza kufika mbali na tukafanya mambo mengi makubwa hata mzungu akashangaa lakini wachawi ni sisi wenyewe. Kwanini Ethiopia na Liberia hazikutawaliwa ukijiuliza tu mara mbilimbili kuna jibu hapo. Afrika ikiungana trust me tunatoboa tena mbali sana ila sasa nani aanze. Nchi za ulimwengu wa kwanza kama naziona hivi.

Sent from my TECNO-W3 using Tapatalk
 
Asante
Asili ya Mwafrika iko wazi kabisa... Labda tuzungumzie vizazi koo na kabila
Kwa Afrika mashariki hii muingiliano ni mkubwa sana na ndio maana leo ni rahisi sana wanasiasa kutumia mamlaka kuhoji asili ya mtu, hasa wale wa mipakani
Mimi binafsi natumia majina yote ya asili sina jina la kizungu hata moja
Asili ya ukoo wetu ni wahunzi wa chuma(wafua vyuma) aka The smithans... Ni ukoo mkongwe na maarufu kabla ya wakoloni kuja, kwakuwa shughuli nyingi za binadamu zilitegemea zana za chuma kuanzia kilimo, makazi, usafiri, ufugaji mpaka biashara
Hivyo Washana hawakuwa watu wa kufa njaa, asipokuja mkulima atakuja mvuvi... Asipokuja mvuvi atakuja mjenzi,... Nk.. Washana walichukuliwa kama wachawi ama washirikina wakuu kutokana na ufanisi na umahiri wao kwenye kazi ya uhunzi
Kwa sehemu kuna mambo ya siri na intelijensia kubwa yalifanyika ili kulinda hakimiliki, biashara na empire nzima ya Washana!


Jr[emoji769]
 
Tupo pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mujibu wa historia mtu mweusi si mtu wa makazi rasmi. Kwa hoja yako kuwa Waafrika tuko hivi kutokana na masuala ya jua na ikweta, sikubaliani nayo kwa mujibu wa historia. Historia inaonesha kwa hoja kwamba ilipo Israel leo na mashariki ya kati walikuwa wanakaa baadhi ya watu weusi (Black Jews) na kwa mujibu wa historia miaka ya 1400-1500 (nyuma) pwani ya EA Ilikuwa haina watu. Waliokuwepo ilitokana na safari ndefu za kukimbia utumwa na mapigano.

Fredius Snowden,

5th Avenue Madson, NY758, USA
 
These mathafuckers white they fool us
Wamebadilisha kila kitu kizuri cha African, Leo hii mtu anang'ang'ania dini bila kujiuliza kabla ya iyo dini kuja wazee walikua wanaamini nn?!
Wazee waliokufa kabla ya kuletewa dini inamana wataenda motoni kama tulivoaminishwa??
Au Mungu tulieaminishwa na hawa wazungu ni kweli yupo??
Kama yupo je, atawaadhibu ambao hawakua/hawana dini??
I'm just thinking out loud
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† WABONGO BANA WANASHINDA KUWAZA MAMBO YA KIJIIIINGA Kwann msiwe wajinga wakati mnawaza ujinga? nini kimefichwa na kimefichwa wapi?? We unajua kuna Mungu Wangapi? Je! Hao mababu unaowazungumzia wanaweza kusaidia nini? jamani kuweni hata wahamasishaji umasikini ututoke humu Africa......wazungu wanaendelea kumuomba Mungu Awape Mawazo mapya Sisi tunazidi Kuomba tuoneshwe yaliofichwa.....we umejuaje kuwa umefichwa?
 
The fact is, without whites we could use our own products, creativity and so on....
But once they came they vanished our culture and beliefs, we don't live longer
Wametuletea maradhi na kutupa elimu yao kwa maana elimu yetu ni ya kishenzi
 
Mkuu mbna kama huo ni moto kabisa unaounguza? Hiyo radiation inakuaje apo.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah hapa kama itakuwa ni kweli basi wametudhibiti sana. kuharibu mfumo wa kufikiri kwetu! Labda kizazi cha baada ya sisi au watoto wetu kitaweza leta mapinduzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ungeweza kuendelea na shule tu wakati huo huo ukitafuta "hayo maarifa" mengine mengine ..me naona ungekuwa sawa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hazikutawaliwa lakini zinatawaliwa kwa asahvi kwahyo hamna namna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…