Baadhi ya swali ya kujiuliza ilikugundua ukweli wa asili yako

Kutokana na thread zako nyingi nimegundua kitu kimoja
1.Unaamini sana theories of evolution vitu ambavyo ni vya kufikirika na havijawahi kuwa prooved.
2.Haukubali race yako wewe kama african na unaamini sana kila atakachosema mzungu .
Sasa nakushauri kitu hichi usiamini kila theory kwa kuwa tu imetolewa na mzungu na wakati huo huo haina scientific proofs.
 
so kwa kifupi ,where did your race come from??
kama theory hizo unazikataa..ni theory ipi ambayo wew kama wew umeikubali kuwa ndo sahahi na inakupa çlue ya ukweli juu ya race nyeusi..??

Lets go with facts mkuu..napenda unipinge kwa facts make tupo kuelimishana...
Go ahead ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila swali likijibiwa kwa ufasaha kuna kitu kitaweza kubadilisha msimamo wa baadhi ya waafrica.
1.Unajua nini juu ya jamii yako kama mwafrika?
Kilichoandikwa kimejaa uongo mtupu - hivyo kile nilichofundishwa siamini kama kina ukweli. Ninachoweza kujua ni kuanzia pale tu nilipojitambua na kuoneshwa kaburi la babu yangu.

2. Kabla ya biashara ya utumwa wazazi wako walikuwa wa asili hiyo uliyoko?
Biashara ya utumwa haikuathiri sana kwenye chimbuko langu hivyo naamini jamii yangu haina makovu ya utumwa.

3. Je Katika jamii yako kuna watu ambao walikuwa wanafanya kazi za ubunifu kama kutengeneza zana za Kilimo, kufua chuma nk?
Ni wengi sana walikuwa wanafanya kazi za kufua chuma. Nakumbuka hata mimi wakati nikiwa ndogo nilikuwa fundi sanifu wa kutengeneza vikapu, baiskeli za miti n.k

4. Je jamii uliyoko unajua nini juu ya mababu wako?
Mababu hawakuandika vitabu vingi; hivyo vitabu nilivyovikuta ni vile vilivyoandikwa na wazungu. Ila kuna vitabu vidogo vilivyoandikwa na mamabu zetu (vitabu kama Ikengya na Beyalula)

5. Je unafahamu kizazi cha nne nyuma ya hiki ulichopo?
Kizazi kinapimwa baada ya miaka mingapi? Nashindwa kujibu swali hilo kwa sababu sijajua kizazi kinapimwa kwa vigezo vipi.

6. Je Mababu zako walikuwa wanamwabudu Mungu yupi kabla ya wakoloni?
Babu zangu hawakumwabudu Mungu huyu tunayemjua. Walikuwa na njia zao za kuabudu; wazazi wangu ndo walijiingiza kwenye kumwabudu Mungu wa kisasa.

7. Je majina ya asili yako kwanini huyatumii kama unayatumia kwanini una jina la kizungu?
Katika majina yangu; sina jina hata moja la kizungu - hivyo namba saba hainihusu.
 
Kila mtu anajisia asili yake lakini nashangaa waafrika wengi wetu hatutaki kufuata asili na tulikotoka.

Mmarekani hata akiwa Rais bado atakuambia mimi asili yangu ni irish

Kuna test kit inauzwa kwa laki2 tu unaweza kujua wewe ni nani

Tujivunie asili zetu
Lakini kuna watu wanawabagua wenzao kuwa sio wazawa wakati hata yeye hajui ametokea wapi au anajificha kwa rangi yake nyeusi

Rejea kuhusu ishu ya birth certificates alizojibu Rais
 
Yaan n full upuuzi..Mungu gan waktafutwa kwenye vitabu.[emoji9] [emoji9]
 
Unamuongelea mungu gan hapa? mungu wa wajaidina,wabhudha,hindu,au mungu yule aliyekula bakora kule masharik ya kat?. Tufafanulie tafadhari.
 
Unamuongelea mungu gan hapa? mungu wa wajaidina,wabhudha,hindu,au mungu yule aliyekula bakora kule masharik ya kat?. Tufafanulie tafadhari.
Mwenye uwezo wa kumfisha nakumhuisha mtu ...........( JESUS CHRIST ONLY) Sifa yake ndiyo hiyo. ALFA NA OMEGA....
 
Mwenye uwezo wa kumfisha nakumhuisha mtu ...........(he is JESUS CHRIST ONLY) Sifa yake ndiyo hiyo. ALFA NA OMEGA....
Acha kuimba bolingo.Jibu swali,unamuongelea mungu gan?
 
Vilivyofichwa ni vingi tu lakini vikitafutwa vinapatikana sababu vipo tatizo lipo kwetu huwa hatupendi kujichosha kuhoji mambo mtu ambayo anaona hayamhusu
na ukiyahoji wafia dini watakwambia mchawi na mshirikina,nakwambia mkuu kuna baadhi ya wazee walikufa zamani ukizipata historia zao watu hawatokusogelea waafrika walikuwa watu wa kisasawa haswa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…