Baadhi ya Tamaduni Artist waliomjibu Khaligraph Jones

Baadhi ya Tamaduni Artist waliomjibu Khaligraph Jones

Scars

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
48,055
Reaction score
116,512
Baada ya Khali kutoa kebei kwa wanamziki wa Hip Hop ya Bongo kuwa hawana uwezo wa kushindana naye.

Khaligraph Jones alitoa masaa 24 kwa wasanii wa Hip Hop wa Bongo wajitokeze kum-challenge.

Japo wakazi alishauri wasanii wasimjibu chochote lakini bado Songa na One the incredible wameamua kumpitia.
 
KJ amewasikia lakini mboni kala buyu au hajasikia chochote?

Scars
ROSA-REE-Mama-Omollo.jpg


Nimemsikiliza hii Nimecheka kishenzi 😂​
 
Back
Top Bottom