Habari zenu ndg zangu,
Natambua hapa kuna watu wa rika zote na tamaduni zote, sasa mwenye uelewa na hili afunguke ili tujifunze, na tuone utofauti.
katika suala la kuoa:
baadhi ya wazee wetu walikuwa au tuseme "wana" wana utaratibu huu;-
1. Kijana anapotaka kuoa, sharti aoe akiwa nyumbani kwa baba yake, na anaweza kuruhusiwa kwenda kwake baada ya kupata mtoto!
Je, hii ina/ilikuwa na maana gani hasa?
2. Unakumbuka nini zaidi (hasa kwenye kuolewa na kuoa)?
Unaweza kujibu namba 1, au 2.. karibu
jasiri haachi asili