Baadhi ya tamaduni kijana sharti aoe akiwa kwa baba yake, na anataruhusiwa kwenda kwake baada ya kupata mtoto

Baadhi ya tamaduni kijana sharti aoe akiwa kwa baba yake, na anataruhusiwa kwenda kwake baada ya kupata mtoto

Gaddaf i06

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2022
Posts
1,770
Reaction score
2,841
Habari zenu ndg zangu,

Natambua hapa kuna watu wa rika zote na tamaduni zote, sasa mwenye uelewa na hili afunguke ili tujifunze, na tuone utofauti.

katika suala la kuoa:
baadhi ya wazee wetu walikuwa au tuseme "wana" wana utaratibu huu;-

1. Kijana anapotaka kuoa, sharti aoe akiwa nyumbani kwa baba yake, na anaweza kuruhusiwa kwenda kwake baada ya kupata mtoto!

Je, hii ina/ilikuwa na maana gani hasa?

2. Unakumbuka nini zaidi (hasa kwenye kuolewa na kuoa)?

Unaweza kujibu namba 1, au 2.. karibu

jasiri haachi asili
 
Ndoa ziko za Aina nyingi kuendana na tamaduni. Kuna jamii hata mkioana, spouses kila mtu anaishi kwao. Kukutana Kwa aji ya kupata mtoto tu. Si ajabu hayo unayoyasena kwingine hayapo
 
Back
Top Bottom