Baadhi ya vifaa walivyozawadiwa M23

Baadhi ya vifaa walivyozawadiwa M23

Marie Antoinette

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
426
Reaction score
412
Pichani, ni magari ya kivita na siraha nzito. Zilitelekezwa na jeshi la Congo, na kwa sasa ni mali ya M23.

Hakika na serikali ya DRC ni mmoja wa wafadhili wakubwa wa M23.

Pamoja na vifaa hivyo, imo ndege moja ya kivita, aina ya Sukhoi -25.

Zaidi ya wanajeshi 480 ambao ni RG(Rwpublican Guard) na Special Force, walizidiwa na kukamatwa mateka na M23, leo hii wapo chini ya ulinzi wa kundi hilo, huku wakiaubiri nini kidanyike.


View: https://x.com/dachronica/status/1885065803415871618?s=46

IMG_0732.jpeg
IMG_0731.jpeg
IMG_0730.jpeg
IMG_0729.jpeg
 

Attachments

  • IMG_0737.jpeg
    IMG_0737.jpeg
    65.8 KB · Views: 2
  • IMG_0736.jpeg
    IMG_0736.jpeg
    460.3 KB · Views: 4
Kumbe vita vinalipa
Kwa mfumo huo, unadhani ni rahisi!? Halafu, raia hawatabiliki. Majuzi wanashabikia serikali, leo wapo close na M23. Raia mpe amani na msosi, basi. Hapo wa kuanzisha vita tena anaanzaje! Ikiwa raia wana amani na furaha! Uadirifu ndo DRC ilichokikosa na kimeicost.
Vitu hivyo vimeshiba aise! Mpaka hapo M23 imeimalika
 
Akili yako ni finyu kweli kweli, ebu jaribu kupitia news mbalimbali kidogo basi ujipe ufahamu japo kiduchu. Kwani Jeshi la Congo ndio Rwanda?
Wewe ndiyo akili kisoda. Kwani wakati kimbau mbau anakanusha hausiki ni kweli hausiki? Mbona Sasa kila kitu kipi adharani mhusika ni yeye. Na siku hizi hata kubisha kuwa hausiki kaacha. Wewe una fuvu lisiloweza kutafakari na kupambanua
 
Back
Top Bottom