Baadhi ya vifaa walivyozawadiwa M23

Serikali ya congo inawalipa wanajeshi $83 per month. Nani afe kwa ela hiyo. Juzi nasikiliza bbc wananchi wanadai wanajeshi walikimbia na wakati wakikimbia wakawa wanavamia maduka na kupora mali za watu
 
Hivi sisi hatuwezi kutengeneza Mizinga yetu?!
Unazuungumzia mizinga!

Hata zile bunduki tu za kupigania waheshimiwa wanajeshi hawana uwezo wa kujenga viwanda ama kuunda.

Africa ina nchi za ajabu sana.

Sisi hapa kilianzishwa kiwanda cha risasi na maguruneti hapo Mzinga Morogoro na Nyerere, hakikuendelezwa sijui hadi leo kama kinafanya kazi.

Mkuu kuunda mizinga ama zana zingine nzito za kivita kwa viongozi wa Afrika ngozi black ni njonzi zilizo beyond na ndoto zao.
 
Drc haina serikali ....
Hiyo Serikali ipo Kinshasa tu. Halafu haina mpangilio wa kiutawala na pia Jeshi linaloeleweka. Unaonba msaada wa kijeshi wakati Jeshi lako hata hawajui wanapigana na nani na wepesi wa kuacha silaha na kujisalimisha kwa maadui ili kuponya roho zao. Uingiapo kazi ya Jeshi ujue upo tayari kufa kwa ajili ya nchi yako. Lakini ukiingia huko ili upate mshahara jua wewe ni msaliti hata kabla ya vita kuanza.
 
Najivunia kuzaliwa na kuwa mtanzania !!!!.

Tanzania yangu haivumilii mifumo ya kijinga ya kutowalipa askari wetu fedha kiduchu kama wanazolipwa wanajeshi wa DRC....

Kweli AKILI nyingi zimejichimbia Tanzania ,thanks Almighty God!

#JMT Kwanza na milele!
#Anayetaka kuivunja JMT avunjwe mgongo wake !!
 
Ongezea kwamba hata wazungu wenyewe, wanaamini hakuna nchi yenye utajiri(mali asili)nyingi zaidi ya Congo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…