GE2025 Baadhi ya Vijana wa Karagwe wafunga Mitaa kwa hamasa wakimsubiri Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DodomaTZ

Senior Member
Joined
May 20, 2022
Posts
197
Reaction score
233
Vijana wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Karagwe, wakiongozwa na Mwenyekiti wao Alexius Sylivester, wamefanya hamasa kubwa ya kumkaribisha Mgombea Urais wa CCM, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye anatarajiwa kuzungumza na wananchi na wanachama wa CCM katika mkutano wa kampeni utakaofanyika leo, tarehe 15 Oktoba 2025, katika Uwanja wa Bashungwa – Kayanga.

Akizungumza wakati wa maandalizi hayo, Alexius alimpongeza Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wake thabiti na kwa kuendelea kulinda amani, umoja na ustawi wa Watanzania, mambo yanayowezesha wananchi kufanya shughuli zao za kiuchumi kwa uhuru na kuleta maendeleo endelevu.

Hamasa hiyo iliyoenea katika mitaa yote ya mji wa Kayanga ilijaza nguvu ya mapenzi, furaha na uzalendo kwa wananchi, huku vijana wakionyesha ari na shauku ya kumpokea Mama wa maendeleo, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
 
Mataahira hawa na machawa wa ujitakia. Senzi kabisa.
 
Hawajadhulumiwa pesa za mafuta ya bodaboda kama ilivyotokea Arusha?
 
utoto wang nmeishi hapo karagwe , ni sehem ina wajinga wajinga weng sana na wengi ni washamba
Vijana wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Karagwe, wakiongozwa na Mwenyekiti wao Alexius Sylivester, wamefanya hamasa kubwa ya kumkaribisha Mgombea Urais wa CCM, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye anatarajiwa kuzungumza na wananchi na wanachama wa CCM katika mkutano wa kampeni utakaofanyika leo, tarehe 15 Oktoba 2025, katika Uwanja wa Bashungwa – Kayanga.

Akizungumza wakati wa maandalizi hayo, Alexius alimpongeza Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wake thabiti na kwa kuendelea kulinda amani, umoja na ustawi wa Watanzania, mambo yanayowezesha wananchi kufanya shughuli zao za kiuchumi kwa uhuru na kuleta maendeleo endelevu.

Hamasa hiyo iliyoenea katika mitaa yote ya mji wa Kayanga ilijaza nguvu ya mapenzi, furaha na uzalendo kwa wananchi, huku vijana wakionyesha ari na shauku ya kumpokea Mama wa maendeleo, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
 
Kwahio mnafunga mitaa watu washindwe kuzalisha na kujipatia mkate wao wa kila siku alafu bado mnajisifia kwamba mnalofanya ni la mbolea ?

Vijana wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Karagwe, wakiongozwa na Mwenyekiti wao Alexius Sylivester, wamefanya hamasa kubwa ya kumkaribisha Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan, ambaye amewasili wilayani humo na kuzungumza na wananchi na wanachama wa CCM katika mkutano wa kampeni leo, tarehe 15 Oktoba 2025, katika Uwanja wa Bashungwa – Kayanga.

Akizungumza wakati wa maandalizi hayo, Alexius alimpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wake thabiti na kwa kuendelea kulinda amani, umoja na ustawi wa Watanzania, mambo yanayowezesha wananchi kufanya shughuli zao za kiuchumi kwa uhuru na kuleta maendeleo endelevu.

Hamasa hiyo iliyoenea katika mitaa yote ya mji wa Kayanga ilijaza nguvu ya mapenzi, furaha na uzalendo kwa wananchi, huku vijana wakionyesha ari na shauku ya kumpokea Mama wa maendeleo, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kumbuka wakati tukielekea Oktoba 29 kwenye Uchaguzi Mkuu, fyucha ya Tanzania iko mikononi mwako kwa kuhakikisha unashiriki kwa kujitokeza kupiga kura.
 
Vijana wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Karagwe, wakiongozwa na Mwenyekiti wao Alexius Sylivester, wamefanya hamasa kubwa ya kumkaribisha Mgombea Urais wa CCM, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye anatarajiwa kuzungumza na wananchi na wanachama wa CCM katika mkutano wa kampeni utakaofanyika leo, tarehe 15 Oktoba 2025, katika Uwanja wa Bashungwa – Kayanga.

Akizungumza wakati wa maandalizi hayo, Alexius alimpongeza Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wake thabiti na kwa kuendelea kulinda amani, umoja na ustawi wa Watanzania, mambo yanayowezesha wananchi kufanya shughuli zao za kiuchumi kwa uhuru na kuleta maendeleo endelevu.

Hamasa hiyo iliyoenea katika mitaa yote ya mji wa Kayanga ilijaza nguvu ya mapenzi, furaha na uzalendo kwa wananchi, huku vijana wakionyesha ari na shauku ya kumpokea Mama wa maendeleo, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Na wewe unatumia VPN?
 
Back
Top Bottom