Tetesi: Baadhi ya viongozi kuwekewa vikwazo vya kusafiri kwenda Ulaya na Marekani

Ub
Aisee wakuu hali ni mbaya,

Nimeona habari katika chanzo kimoja cha kimataifa, ni kuwa kuna hatari ya kuwekewa vikwazo vya kusafiri kwenda ulaya na marekani kwa viongozi fulani kutoka Tanzania.

Inasemekana vikwazo vinaweza kuwakumba, Paul Makonda, msajili wa vyama vya siasa, na baadhi ya viongozi wa juu wa serikali.

Aisee hali ni mbaya

Source. Fox news.

Ubaya wa hiyo hali ni nini?
 
Bob Marley akiwa waangalia BAVICHA anatapika kila siku huko aliko walahi
Mandela na kina Nkrumah ndio wanarusha laana kwa CHADEMA Kila dakika walahi
 
I know, matajiri wengi wenye asili ya uarabu hawataki kusikia hizi nchi kabisa
Mimi mwenyewe hata bure siziendi walahi
KUNA NINI CHA MAANA?
Nyuzi nyingine ni aibu tupu walahi
 
Bob Marley akiwa waangalia BAVICHA anatapika kila siku huko aliko walahi
Mandela na kina Nkrumah ndio wanarusha laana kwa CHADEMA Kila dakika walahi
Haaaaa hamchomoi walahi
 
Wtz tuwe wakweli, hivi mtu kama Makonda just mkuu wa Mkoa akifungiwa kwenda nje kutakuwa na hasara yeyote kwa Dar na tz!!!!
 
Jiwe alishaonywa kumkumbatia Bashite siku atakuja kujuta sasa ndio tunaelekea kujuta

Wahusika wa Tundu Lisu na kutekwa kwa Mo mambo ni kama ya Jamal Kashoggi mwandishi wa Saudia na waliohusika! siku hizi dunia ipo kiganjani - digital! Kila kitu kinanaswa!!!!ila wanaweka pahala - KIV = kept in view!
 
Watu wasiokuwa hata na collaterals huko kuwazuia kwenda huko ni ujinga mtupu,Africa kwa sasa inageukia East.
 
Aisee wakuu hali ni mbaya,

Nimeona habari katika chanzo kimoja cha kimataifa, ni kuwa kuna hatari ya kuwekewa vikwazo vya kusafiri kwenda ulaya na marekani kwa viongozi fulani kutoka Tanzania.

Inasemekana vikwazo vinaweza kuwakumba, Paul Makonda, msajili wa vyama vya siasa, na baadhi ya viongozi wa juu wa serikali.

Aisee hali ni mbaya

Source. Fox news.
weka link acha porojo
 
Write your reply...Hata kutengeneza bajaj na bodaboda vijana wa bongo umri miaka 20 hadi 35 mnashindwa? Mimi naona wote mnapenda siasa na biashara mbona hatutafika mbali.
 
Mtafute mtu wa IT akusaidie kuileta hiyo link hapa ili watu tuwe confidence kuijadili/hadi sahiz tunaijadili kiushabiki tu
Aisee wakuu hali ni mbaya,

Nimeona habari katika chanzo kimoja cha kimataifa, ni kuwa kuna hatari ya kuwekewa vikwazo vya kusafiri kwenda ulaya na marekani kwa viongozi fulani kutoka Tanzania.

Inasemekana vikwazo vinaweza kuwakumba, Paul Makonda, msajili wa vyama vya siasa, na baadhi ya viongozi wa juu wa serikali.

Aisee hali ni mbaya

Source. Fox news.
 
Wakicheka na nyani wataingia gharama kuhudumia wakimbizi
 
Una gas,urenium,madini,bahari,maziwa,wanyama pori,makaa ya mawe,rasilimali watu,milima na mabonde
Nchi yetu sio jangwa mapori kibao alafu tuogope vikwazo vya wazungu ,,
Ingekuwa vikwazo vya mungu sawa lakini sio wazungu
Wachina wapo ,wahindi wapo,waarabu wapo wafrica wenzetu wapo
Tutafanya biashara na mataifa mengine
Kwenda ulaya mbaka sasa record ya kwenda huko anaishikiria mkwele wazungu watakuwa wametusaidia sana kutuwekea vikwazo
Ni kama kumpiga chura teke..
 
Aisee wakuu hali ni mbaya,

Nimeona habari katika chanzo kimoja cha kimataifa, ni kuwa kuna hatari ya kuwekewa vikwazo vya kusafiri kwenda ulaya na marekani kwa viongozi fulani kutoka Tanzania.

Inasemekana vikwazo vinaweza kuwakumba, Paul Makonda, msajili wa vyama vya siasa, na baadhi ya viongozi wa juu wa serikali.

Aisee hali ni mbaya

Source. Fox news.
Makonda itakuwa issue ya Mashoga nini? maana Wazungu wanaupenda ushoga
 
Back
Top Bottom