Baadhi ya Viongozi wa BAWACHA waliofika Ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe waanza kukamatwa

Bw. Minyoo, nisalimie huko Mirembe hospitali. Lini utaruhusiwa kutoka?
Kwa ufinyu wa upeo wako unaona umeandika point? Jiulize wewe utatoka lini huko mirembe kwani usingepajua kama siyo kwenda kutibiwa, acha kujitoa fahamu Tambua kuwa utetezi wako mitandaoni umefeli umeanza kuandika ujinga ujinga baada ya kuvuta Bangi hapo gheto kwako
 
Wapinzani gani unaowazingumzia? Ni hawahawa waliochoma soko la Kariakoo na kuhusika na matukio mbalimbali ya shule kuwaka moto mfululizo kisha wakakimbilia mitandaoni kushangilia, au kuna wengine?
Mmemaliza kuwabambikia kesi za ugaidi sasa mnaanza kuwabambikia hata moto wa soko, ebu watetezi wa CCM mitandaoni muogopeni mungu huu ujinga wa kubambikia bambikia umepitwa na wakati
 
labda kama hujui siasa , chama kinachokuwa kinaogopaje vyama vichanga ?
 
Wananchi wangehitaji Katiba Mpya wangekuwa wameishaipata zamaaaaaaaaani! Iliyopo wanaridhika nayo. Hao viherehere wanaotaka kuvuruga amani ya nchi kwa kisingizio cha Katiba Mpya watashughulikiwa ipasavyo!!!
Amani ipi imevurugwa wapi? Kudai katiba mpya siyo kuvunja Amani acha visingizio haramu vya kishamba
 
YAAANI UNASEMA HIVYO ILI TUSIHOJI MBOWE?MNAKUWAGA WABISHI SANA LINAPOKUJA SUALA LA KUJADIRI MAOVUYA MBOWE
 
labda kama hujui siasa , chama kinachokuwa kinaogopaje vyama vichanga ?
Mimi ni mshauri wa siasa wa chama changu cha CCM kwa ngazi niliyopo. Nikuhakikishie, niko vizuri kwenye siasa. Tatizo la Chadema mnahisi mnajua kuliko wengine. Mnawabagua hata wapinzani wengine kwa kujiona ninyi ni bora. Na hapo ndipo CCM tunapowawin.
 
Mawazo Mgando Sana...CCM sio tena Chama Cha Sisa bnali Mkusanyiko wa Vyombo Vya Dola..
 
Amani ipi imevurugwa wapi? Kudai katiba mpya siyo kuvunja Amani acha visingizio haramu vya kishamba
Ingieni basi mtaani muidai hiyo katiba sasa. Kabla ya Polisi hawajaja, sisi wananchi tutakuwa tumeishawashughulikia vya kutosha! Nakupa changamoto wewe na wenzio, ingieni mtaani kama kweli ninyi ni wanaume na wanawake mnaotetea haki ya kweli! Ingieni!!!
 
Schizophrenia ni ugonjwa mbaya kuliko corona. Muathirika anakuwa na auditory & visual hallucinations, manic & depressive moods, persecutaory disorde, grandiosity, paranoia, impulsivity, recklessnes, false beliefs and untouch reality. The condition is genetical, has no cure or vaccine and it is permanent. Hili ndilo gonjwa alilo nalo ndugu yetu Bw. Minyoo. You cannot argue with Minyoo because people will not know the difference.
 
Jibu hoja wewe
 
CCM ambao hawataki katiba nao ni wananchi, mchakato wa katiba mpya ama mabadiliko yoyote hayatafanikiwa mpaka uwe beyond vyama vya siasa...ndio maana Chadema wakidakwa wanasema tutakinukisha halafu wanaishia kupotea kwa sababu hakuna hamasa kwa raia wa kawaida !

USA ana economic interests zaidi kuliko mambo ya utawala bora, chadema had all the chances ya kuzuia aids kutoka USA, EU, World Bank etc katika kipindi cha Magufuli (kutokana na kujaribu kugusa interests zao na kuwa very unpredictable) lakini nothing happened. As long as US and other western nations wanaweza kuinvest na ku control uchumi wa Africa including Tanzania kwa madenk hawana muda na mambo ya kusimamia utawala bora vinginevyo Kagame na Museveni kwa ukanda wa East Africa wangekuwa wamepigwa nyundo kali !
 
inaelekea wewe ni mnunuzi wa changudoa huko Tunduma iweje ujue maisha yote ya machangudoa? Acheni uonevu ili mpate Akili ya kuachana na manyanyaso haramu ya kishetani kwa wapinzani
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Nipo Kyela. Kyela hakuna machangudoa, Erythrocyte anaweza kuthibitisha hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…