Baadhi ya Viongozi wa Dini mpo upande gani kuhusu yanayoendelea nchini?

Baadhi ya Viongozi wa Dini mpo upande gani kuhusu yanayoendelea nchini?

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
357
Reaction score
686
Viongozi wa Dini nyingine, kwa nini mnakaa kimya wakati Watanzania wanapitia katika mateso mbalimbali?

Kuna suala la Wamasai wa Ngorongoro na suala la kutekwa watu, viongozi mbalimbali wa Dini wamejaribu kupaza sauti zao kukemea maovu yanayofanywa lakini viongozi wa Dini nyingine mpo wapi?

Hamyaoni haya?
 
TEC wameweka msimamo wao, Shehe Ponda kaweka msimamo wake, Askofu Mwamakula kaweka msimamo wake.

Bado BAKWATA na baadhi ya Makanisa.
 
Mwamposa anawaza namna ya kuwakanyagisha mazombie wake mafuta na kuwakamua mifuko yao.
 
Viongozi wa Dini nyingine, kwa nini mnakaa kimya wakati Watanzania wanapitia katika mateso mbalimbali?
Kuna suala la wamasai wa Ngorongoro na suala la kutekwa watu, viongozi mbalimbali wa Dini wamejaribu kupaza sauti zao kukemea maovu yanayofanywa lakini viongozi wa Dini nyingine mpo wapi?

Hamyaoni haya?
Wanasubiri kukusanya sadaka tu makondoo wao tu
 
Back
Top Bottom