PostGE2025 Baadhi ya 'Viongozi wa Dini' wahimiza kuikosoa Serikali kwa HEKIMA na BUSARA

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

carbohydates

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2026
Posts
260
Reaction score
607
Baadhi ya Viongozi wa dini nchini, akiwemo Sheikh Khamis Said Mataka, Padri Dkt. Joseph Matumaini, Modest Pesha na Kanali Samuel Mkami, wamesisitiza kuwa viongozi wa kiroho wana wajibu wa kuikosoa na kuinasihi serikali kwa hekima na busara pale inapokosea, huku wakihimiza ujasiri wa kusema ukweli kwa lengo la kulinda amani na haki nchini.

Wametoa kauli hiyo wakati wa Kongamano la Kitaifa la Dini Mbalimbali Kuhusu Amani, Haki na Uwajibikaji Nchini Tanzania, lililofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Katika kongamano hilo, viongozi wa dini walihimizwa kutenda haki, kuwa wapatanishi, kupaza sauti dhidi ya dhuluma, kuelimisha jamii na kuimarisha umoja na uzalendo miongoni mwa Watanzania.

Aidha, imeelezwa kuwa mawazo na maoni yanayolenga kuikosoa au kuishauri serikali yanapaswa kuwasilishwa kwa lugha ya upole, hekima na heshima, badala ya kutumia lugha ya kukandamiza au inayoweza kuchochea migawanyiko. Viongozi wa dini wametakiwa kutumia nafasi zao kujenga maelewano na kuhimiza uwajibikaji bila kuhatarisha amani na umoja wa taifa.

Chanzo : Jambo tv

🖕🏿🖕🏿
 
Usipojiheshimu hutaheshimuwa! Waite na hai the so called serikali muwaambie wajihewhimu, watende haki! Pumbavu zenu
 
Hii kutaka serekali ikosolewe kwa staha ndio imetufikisha hapa. Mtu anaingia madarakani kwa kupora chaguzi na kufanya mauaji, kisha unasema akasolewe kwa staha!
 
Baadhi ya Viongozi wa dini nchini, akiwemo Sheikh Khamis Said Mataka, Padri Dkt. Joseph Matumaini, Modest Pesha na Kanali Samuel Mkami, wamesisitiza kuwa viongozi wa kiroho wana wajibu wa kuikosoa na kuinasihi serikali kwa hekima na busara pale inapokosea, huku wakihimiza ujasiri wa kusema ukweli kwa lengo la kulinda amani na haki nchini.

Wametoa kauli hiyo wakati wa Kongamano la Kitaifa la Dini Mbalimbali Kuhusu Amani, Haki na Uwajibikaji Nchini Tanzania, lililofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Katika kongamano hilo, viongozi wa dini walihimizwa kutenda haki, kuwa wapatanishi, kupaza sauti dhidi ya dhuluma, kuelimisha jamii na kuimarisha umoja na uzalendo miongoni mwa Watanzania.

Aidha, imeelezwa kuwa mawazo na maoni yanayolenga kuikosoa au kuishauri serikali yanapaswa kuwasilishwa kwa lugha ya upole, hekima na heshima, badala ya kutumia lugha ya kukandamiza au inayoweza kuchochea migawanyiko. Viongozi wa dini wametakiwa kutumia nafasi zao kujenga maelewano na kuhimiza uwajibikaji bila kuhatarisha amani na umoja wa taifa.

Chanzo : Jambo tv

Hekima na busara ipi?

Ikiwa kukosoa kwa hekima na busara ndiyo kumetufikisha hapa, je, kukosoa kwa hekima na busara ile ile kutakuwa hekima na busara bado?

Au tunahitaji kuifikiria tena "hekima na busara" ni nini, umuhimu wake na mapungufu yake?

Kwa sababu, inawezekana unataka ku negotiate na jambazi muuaji kwa hekima na busara, wakati kinachohitajika hapo si hekima na busara ni nguvu ya kumnyang'anya bunduki asikuue.

Ukileta maongezi ya hekima na busara anakuua mara moja.

Hapo maongezi yanayoitwa ya hekima na busara yanaweza kuwa ujinga.
 
Baadhi ya Viongozi wa dini nchini, akiwemo Sheikh Khamis Said Mataka, Padri Dkt. Joseph Matumaini, Modest Pesha na Kanali Samuel Mkami, wamesisitiza kuwa viongozi wa kiroho wana wajibu wa kuikosoa na kuinasihi serikali kwa hekima na busara pale inapokosea, huku wakihimiza ujasiri wa kusema ukweli kwa lengo la kulinda amani na haki nchini.

Wametoa kauli hiyo wakati wa Kongamano la Kitaifa la Dini Mbalimbali Kuhusu Amani, Haki na Uwajibikaji Nchini Tanzania, lililofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Katika kongamano hilo, viongozi wa dini walihimizwa kutenda haki, kuwa wapatanishi, kupaza sauti dhidi ya dhuluma, kuelimisha jamii na kuimarisha umoja na uzalendo miongoni mwa Watanzania.

Aidha, imeelezwa kuwa mawazo na maoni yanayolenga kuikosoa au kuishauri serikali yanapaswa kuwasilishwa kwa lugha ya upole, hekima na heshima, badala ya kutumia lugha ya kukandamiza au inayoweza kuchochea migawanyiko. Viongozi wa dini wametakiwa kutumia nafasi zao kujenga maelewano na kuhimiza uwajibikaji bila kuhatarisha amani na umoja wa taifa.

Chanzo : Jambo tv

Unamkosoaji mwendawazimu kwa busara? yaani badala ya kumuambia HUNA AKILI unatakiwa kusema akili zako hazina nguvu kidogo??
 
Baadhi ya Viongozi wa dini nchini, akiwemo Sheikh Khamis Said Mataka, Padri Dkt. Joseph Matumaini, Modest Pesha na Kanali Samuel Mkami, wamesisitiza kuwa viongozi wa kiroho wana wajibu wa kuikosoa na kuinasihi serikali kwa hekima na busara pale inapokosea, huku wakihimiza ujasiri wa kusema ukweli kwa lengo la kulinda amani na haki nchini.

Wametoa kauli hiyo wakati wa Kongamano la Kitaifa la Dini Mbalimbali Kuhusu Amani, Haki na Uwajibikaji Nchini Tanzania, lililofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Katika kongamano hilo, viongozi wa dini walihimizwa kutenda haki, kuwa wapatanishi, kupaza sauti dhidi ya dhuluma, kuelimisha jamii na kuimarisha umoja na uzalendo miongoni mwa Watanzania.

Aidha, imeelezwa kuwa mawazo na maoni yanayolenga kuikosoa au kuishauri serikali yanapaswa kuwasilishwa kwa lugha ya upole, hekima na heshima, badala ya kutumia lugha ya kukandamiza au inayoweza kuchochea migawanyiko. Viongozi wa dini wametakiwa kutumia nafasi zao kujenga maelewano na kuhimiza uwajibikaji bila kuhatarisha amani na umoja wa taifa.

Chanzo : Jambo tv

Labda kwa viongozi wa serikali halali ila, kwa hili haramu ya Samia, haina hadhi ya ya kupewa heshima na raia wenye busara
 
Kumstahi kiongozi muuaji, ni kumkosea Mungu. Neno la Mungu linasema, panapotakiwa kuonya, onya hata kwa ukali.

2 Timotheo 4:2: "Lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho."

Tito 1:13: "Ushuhuda huu ni kweli. Kwa sababu hiyo uwakemee kwa ukali, ili wapate kuwa wazima katika imani."

Waebrania 4:12: "Maana Neno la Mungu li hai, tena lina nguvu, tena lina ukali kuliko upanga uwao wote ukatao kuwili.

• Marko 8:33: Yesu alimkemea hata mwanafunzi wake wa karibu, Petro, kwa ukali mkubwa alipoanza kuwaza kibinadamu badala ya kimungu: "...akimkemea Petro, akasema, Nenda nyuma yangu, Shetani; maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu."
• Mathayo 23: Katika sura hii yote, Yesu anatumia lugha kali sana dhidi ya wanafiki akisema, "Ole wenu, waandishi na Mafarisayo, wanafiki!" na kuwaita.
biblia inapoakiwa kuonya onya hata kwa ukali

Katika Biblia, kuonya hata kwa ukali ni sehemu muhimu ya kulinda imani, kusahihisha makosa, na kuongoza watu kwenye haki. Neno la Mungu halisiti kutumia lugha thabiti au makemeo pale ambapo dhambi au mafundisho ya uongo yanahatarisha maisha ya kiroho ya waumini.
Hapa kuna mistari mikuu inayofundisha au kuonyesha nyakati ambapo Biblia inaagiza kuonya kwa ukali:

1. Agizo la Kukaripia na Kukemea Bila Uoga

• 2 Timotheo 4:2: "Lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho." Mtume Paulo anasisitiza kuwa injili haipaswi kuwa ya kufurahisha masikio ya watu tu, bali lazima ihusishe ukali wa makemeo pale inapobidi.
• Tito 1:13: "Ushuhuda huu ni kweli. Kwa sababu hiyo uwakemee kwa ukali, ili wapate kuwa wazima katika imani." Hapa Paulo anampa Tito maagizo ya wazi kabisa kuwashughulikia wale wanaopotosha wengine ndani ya kanisa kwa kutumia lugha kali ili kuwasaidia kurudi kwenye mstari.
• Tito 2:15: "Nena mambo haya, na kuonya, na kukemea kwa mamlaka yote. Mtu awaye yote asikudharau."

2. Ukali wa Neno la Mungu Mwenyewe

• Waebrania 4:12: "Maana Neno la Mungu li hai, tena lina nguvu, tena lina ukali kuliko upanga uwao wote ukatao kuwili..." Neno lenyewe halibembelezi dhambi; linaingia ndani kabisa na kuchambua nia mbaya za mioyo ya wanadamu.
• Waebrania 10:26-27: Waebrania inatoa onyo kali sana kwa wale wanaotenda dhambi makusudi baada ya kuijua kweli, ikisema: "...bali kuna kuitazamia hukumu yenye kutisha, na ukali wa moto ulio tayari kuwala wao wapingao."

3. Mfano wa Yesu Kristo na Manabii

• Marko 8:33: Yesu alimkemea hata mwanafunzi wake wa karibu, Petro, kwa ukali mkubwa alipoanza kuwaza kibinadamu badala ya kimungu: "...akimkemea Petro, akasema, Nenda nyuma yangu, Shetani; maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu."
• Mathayo 23: Katika sura hii yote, Yesu anatumia lugha kali sana dhidi ya wanafiki akisema, "Ole wenu, waandishi na Mafarisayo, wanafiki!" na kuwaita "nyoka, wana wa mafari!"
 
Hutakiwi kuwa na lugha ya kumbembeleza mwovu, onya kwa ukali, ndivyo neno la Mungu linavyoagiza.
 
Baadhi ya Viongozi wa dini nchini, akiwemo Sheikh Khamis Said Mataka, Padri Dkt. Joseph Matumaini, Modest Pesha na Kanali Samuel Mkami, wamesisitiza kuwa viongozi wa kiroho wana wajibu wa kuikosoa na kuinasihi serikali kwa hekima na busara pale inapokosea, huku wakihimiza ujasiri wa kusema ukweli kwa lengo la kulinda amani na haki nchini.

Wametoa kauli hiyo wakati wa Kongamano la Kitaifa la Dini Mbalimbali Kuhusu Amani, Haki na Uwajibikaji Nchini Tanzania, lililofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Katika kongamano hilo, viongozi wa dini walihimizwa kutenda haki, kuwa wapatanishi, kupaza sauti dhidi ya dhuluma, kuelimisha jamii na kuimarisha umoja na uzalendo miongoni mwa Watanzania.

Aidha, imeelezwa kuwa mawazo na maoni yanayolenga kuikosoa au kuishauri serikali yanapaswa kuwasilishwa kwa lugha ya upole, hekima na heshima, badala ya kutumia lugha ya kukandamiza au inayoweza kuchochea migawanyiko. Viongozi wa dini wametakiwa kutumia nafasi zao kujenga maelewano na kuhimiza uwajibikaji bila kuhatarisha amani na umoja wa taifa.

Chanzo : Jambo tv

Perpendicular and accordingly.Muhuni hakosolewi kwa upole na hekima.Muhuni lazima uende naye nginjanginja kama njia aliyoichagua.Accordingly.Perpendicular.Mumo kwa pale!
 
Kwa hekima ni aje? Mbona wao hawatumii hekima ktk kutenda. Wanaua. Nitumie hekima ipi kumkosoa muuaji? Nikimwambia aache kuua, hiyo sio hekima? Viongozi wengine wa dini ni wapumbavu Sana. Bakwata wanatuharibia nchi kwa njaa zao. Nyau waedi kabisa.
 
Back
Top Bottom