carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
🖕🏿🖕🏿Baadhi ya Viongozi wa dini nchini, akiwemo Sheikh Khamis Said Mataka, Padri Dkt. Joseph Matumaini, Modest Pesha na Kanali Samuel Mkami, wamesisitiza kuwa viongozi wa kiroho wana wajibu wa kuikosoa na kuinasihi serikali kwa hekima na busara pale inapokosea, huku wakihimiza ujasiri wa kusema ukweli kwa lengo la kulinda amani na haki nchini.
Wametoa kauli hiyo wakati wa Kongamano la Kitaifa la Dini Mbalimbali Kuhusu Amani, Haki na Uwajibikaji Nchini Tanzania, lililofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Katika kongamano hilo, viongozi wa dini walihimizwa kutenda haki, kuwa wapatanishi, kupaza sauti dhidi ya dhuluma, kuelimisha jamii na kuimarisha umoja na uzalendo miongoni mwa Watanzania.
Aidha, imeelezwa kuwa mawazo na maoni yanayolenga kuikosoa au kuishauri serikali yanapaswa kuwasilishwa kwa lugha ya upole, hekima na heshima, badala ya kutumia lugha ya kukandamiza au inayoweza kuchochea migawanyiko. Viongozi wa dini wametakiwa kutumia nafasi zao kujenga maelewano na kuhimiza uwajibikaji bila kuhatarisha amani na umoja wa taifa.
Chanzo : Jambo tv
Usipojiheshimu hutaheshimuwa! Waite na hai the so called serikali muwaambie wajihewhimu, watende haki! Pumbavu zenuBaadhi ya Viongozi wa dini nchini, akiwemo Sheikh Khamis Said Mataka, Padri Dkt. Joseph Matumaini, Modest Pesha na Kanali Samuel Mkami, wamesisitiza kuwa viongozi wa kiroho wana wajibu wa kuikosoa na kuinasihi serikali kwa hekima na busara pale inapokosea, huku wakihimiza ujasiri wa kusema ukweli kwa lengo la kulinda amani na haki nchini.
Tito wamemuuaMbona hawaisemi serikali ikiteka watu na kuwapoteza?
Yupo wapi nabii Tito?
Baadhi ya Viongozi wa dini nchini, akiwemo Sheikh Khamis Said Mataka, Padri Dkt. Joseph Matumaini, Modest Pesha na Kanali Samuel Mkami, wamesisitiza kuwa viongozi wa kiroho wana wajibu wa kuikosoa na kuinasihi serikali kwa hekima na busara pale inapokosea, huku wakihimiza ujasiri wa kusema ukweli kwa lengo la kulinda amani na haki nchini.
Wametoa kauli hiyo wakati wa Kongamano la Kitaifa la Dini Mbalimbali Kuhusu Amani, Haki na Uwajibikaji Nchini Tanzania, lililofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Katika kongamano hilo, viongozi wa dini walihimizwa kutenda haki, kuwa wapatanishi, kupaza sauti dhidi ya dhuluma, kuelimisha jamii na kuimarisha umoja na uzalendo miongoni mwa Watanzania.
Aidha, imeelezwa kuwa mawazo na maoni yanayolenga kuikosoa au kuishauri serikali yanapaswa kuwasilishwa kwa lugha ya upole, hekima na heshima, badala ya kutumia lugha ya kukandamiza au inayoweza kuchochea migawanyiko. Viongozi wa dini wametakiwa kutumia nafasi zao kujenga maelewano na kuhimiza uwajibikaji bila kuhatarisha amani na umoja wa taifa.
Chanzo : Jambo tv
Unamkosoaji mwendawazimu kwa busara? yaani badala ya kumuambia HUNA AKILI unatakiwa kusema akili zako hazina nguvu kidogo??Baadhi ya Viongozi wa dini nchini, akiwemo Sheikh Khamis Said Mataka, Padri Dkt. Joseph Matumaini, Modest Pesha na Kanali Samuel Mkami, wamesisitiza kuwa viongozi wa kiroho wana wajibu wa kuikosoa na kuinasihi serikali kwa hekima na busara pale inapokosea, huku wakihimiza ujasiri wa kusema ukweli kwa lengo la kulinda amani na haki nchini.
Wametoa kauli hiyo wakati wa Kongamano la Kitaifa la Dini Mbalimbali Kuhusu Amani, Haki na Uwajibikaji Nchini Tanzania, lililofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Katika kongamano hilo, viongozi wa dini walihimizwa kutenda haki, kuwa wapatanishi, kupaza sauti dhidi ya dhuluma, kuelimisha jamii na kuimarisha umoja na uzalendo miongoni mwa Watanzania.
Aidha, imeelezwa kuwa mawazo na maoni yanayolenga kuikosoa au kuishauri serikali yanapaswa kuwasilishwa kwa lugha ya upole, hekima na heshima, badala ya kutumia lugha ya kukandamiza au inayoweza kuchochea migawanyiko. Viongozi wa dini wametakiwa kutumia nafasi zao kujenga maelewano na kuhimiza uwajibikaji bila kuhatarisha amani na umoja wa taifa.
Chanzo : Jambo tv
Labda kwa viongozi wa serikali halali ila, kwa hili haramu ya Samia, haina hadhi ya ya kupewa heshima na raia wenye busaraBaadhi ya Viongozi wa dini nchini, akiwemo Sheikh Khamis Said Mataka, Padri Dkt. Joseph Matumaini, Modest Pesha na Kanali Samuel Mkami, wamesisitiza kuwa viongozi wa kiroho wana wajibu wa kuikosoa na kuinasihi serikali kwa hekima na busara pale inapokosea, huku wakihimiza ujasiri wa kusema ukweli kwa lengo la kulinda amani na haki nchini.
Wametoa kauli hiyo wakati wa Kongamano la Kitaifa la Dini Mbalimbali Kuhusu Amani, Haki na Uwajibikaji Nchini Tanzania, lililofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Katika kongamano hilo, viongozi wa dini walihimizwa kutenda haki, kuwa wapatanishi, kupaza sauti dhidi ya dhuluma, kuelimisha jamii na kuimarisha umoja na uzalendo miongoni mwa Watanzania.
Aidha, imeelezwa kuwa mawazo na maoni yanayolenga kuikosoa au kuishauri serikali yanapaswa kuwasilishwa kwa lugha ya upole, hekima na heshima, badala ya kutumia lugha ya kukandamiza au inayoweza kuchochea migawanyiko. Viongozi wa dini wametakiwa kutumia nafasi zao kujenga maelewano na kuhimiza uwajibikaji bila kuhatarisha amani na umoja wa taifa.
Chanzo : Jambo tv
Alafu wanataka watu waikosoe serikali taratibu.roho za watu zinapotea .wakikemewa mnasema wanafokeaTito wamemuua
Perpendicular and accordingly.Muhuni hakosolewi kwa upole na hekima.Muhuni lazima uende naye nginjanginja kama njia aliyoichagua.Accordingly.Perpendicular.Mumo kwa pale!Baadhi ya Viongozi wa dini nchini, akiwemo Sheikh Khamis Said Mataka, Padri Dkt. Joseph Matumaini, Modest Pesha na Kanali Samuel Mkami, wamesisitiza kuwa viongozi wa kiroho wana wajibu wa kuikosoa na kuinasihi serikali kwa hekima na busara pale inapokosea, huku wakihimiza ujasiri wa kusema ukweli kwa lengo la kulinda amani na haki nchini.