PostGE2025 Baadhi ya 'Viongozi wa Dini' wahimiza kuikosoa Serikali kwa HEKIMA na BUSARA

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
 
Busara ni kusema,
"Samahani mheshimiwa, tunaomba uache kuteka, kuua na kubambikizia watu kesi".
Ndio busara inayotakiwa hiyo?
Jambo baya likemewe kwa nguvu na kwa ukali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…