Baadhi ya vipengele vya mkataba wa Sports pesa na Yanga ,mkataba wa "Ki Mangungo"

Baadhi ya vipengele vya mkataba wa Sports pesa na Yanga ,mkataba wa "Ki Mangungo"

Ha ha legal framework ,marketing na Financing ni problem kwa team za Tz Azam is exceptional
 
wakuu mumsamehe simu alishika fala mmoja wa ofisini kwao akapost huenda si yéyé?
 
W
Unadhani Simba ni wajinga kiasi hicho?
Walianza Simba kwa vipengele hivyo na hela ndogo zaidi hadi walipogundua Yanga kapata zaidi wanaenda kupiga magoti angalau wafanane na Yanga
 
Sasa naanza kuelewa kwanini Manji ameamua kujiudhuru,sasa nafasi ya quality group au Manji ipo wapi hapo [emoji23] [emoji23]

Sports pesa wametoa 900M hivyo hakuna mdhamini yeyote atakayeruhusiwa na wachezaji pia image zao zimeuzwa

Image na voice za wachezaji 22+ ,nembo ya timu nk nk kwa 900M na hakuna sponsor mwingine atakayekubaliwa

676ce8da390aa6cb0ff4a7304cefa446.jpg
Mbona hicho kipengele kimekaa ki uwongo uwongo ujanja ujanja uswahili Swahili kweli mkataba unakuwa na maneno ya kitoto hivyo "hata wa nyanya"
 
Mkuu! Mbona unapotosha watu?

Leta mkataba genuine na sio hiki kipande kilicho fanyiwa editing kutoka Kwenye mkataba ule wa Manji.

Msiangaike Sana jamani! Mkataba nimeusoma na hakuna vipengele vya namna hiyo.
Mkuu weka mambo sawa basi kama umesoma, Ili huyo jamaa aonekane muongo kwani hawezi kuonekana muongo mpaka iwe na kweli yake.
 
Ila kwa idhini yao watakubali
Mfano kampuni ambazo zinafanya kazi tofauti na sportpesa
 
Sasa naanza kuelewa kwanini Manji ameamua kujiudhuru,sasa nafasi ya quality group au Manji ipo wapi hapo [emoji23] [emoji23]

Sports pesa wametoa 900M hivyo hakuna mdhamini yeyote atakayeruhusiwa na wachezaji pia image zao zimeuzwa

Image na voice za wachezaji 22+ ,nembo ya timu nk nk kwa 900M na hakuna sponsor mwingine atakayekubaliwa

676ce8da390aa6cb0ff4a7304cefa446.jpg
Un Sot Trouve Toujours Un Plus Sot Qui L'admire.
 
Back
Top Bottom