Baadhi ya viwanda vya magari nchini Iran

Baadhi ya viwanda vya magari nchini Iran

ITR

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
6,096
Reaction score
16,390
Hivi ni baadhi ya magari na viwanda vya kutengeneza magari ndani ya jiji la Teheran nchini Iran.

Iran-Khodro-Dena.jpg
210322-general-motors-ontario-ew-700p.jpg
13742.jpg
3389066-18570427.jpg
1550834898_6383893_1550834613_353377TASS_cars.jpg
RTR2O8RT.jpg
02d10000-0aff-0242-90a1-08da2d2e1899_w408_r1_st_s.jpg
1396092517075998812803524.jpg
3904433.jpg
 

Attachments

  • iran-signs-300mn-mou-for-car-exports-to-russia-latest-eng-news-1537910.jpg
    iran-signs-300mn-mou-for-car-exports-to-russia-latest-eng-news-1537910.jpg
    17.7 KB · Views: 17
  • 07-vehicle_output-831-lead.jpg
    07-vehicle_output-831-lead.jpg
    23.6 KB · Views: 17
  • 11-kk_unsafe_630_2.jpg
    11-kk_unsafe_630_2.jpg
    26.7 KB · Views: 18
Iran au enzi hizo iliulikana kama PESRIA ilikua ni taifa kubwa kuwahi kutokea Duniani,
Wangeweza kupromote bidhaa zinazopatikana kwao kwanzia kwenye Elimu, Technology wengi wetu tungeachwa midomo wazi.
Kwa miaka mingi vikwazo ndio vinamzuia kuendelea kujitanua kimataifa.
 
Huwezi kuyaona mazuri ya Iran kwenye hizi media tunazotumia ambazo wamiliki wakubwa ni Westerners na Americans of Jew Descent. In short kuna sehemu kubwa sana ya Dunia ambayo hatuioni kwenye Mainstream Media.
 
Mbona yule mtaalam wao wa nyuklia aliyepigwa bomu na kufa kipind kile alikua anatembelea Nissan Fuga ?, hayo magari ya Iran ni kwa ajili ya kupigia pcha tu kama sisi huku na magari yetu ya Nyumbu au lile la Kipanya
 
Back
Top Bottom