Wako vuzuri sana haoHao ni waajemi na sio waarabu, akili yao iko mbele toka enzi na enzi
Kwani yeye kasema ni Waarabu?Hao ni waajemi na sio waarabu, akili yao iko mbele toka enzi na enzi
Wako vizuri kiukweli, huku tunawaita Waburushi.Hao ni waajemi na sio waarabu, akili yao iko mbele toka enzi na enzi
Waburushi ni wengine kabisa mkuu,wao kwao ni Pakistani Baluchistan huko,Wako vizuri kiukweli, huku tunawaita Waburushi.