Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Tanzania lapendekeza makato ya mishahara kupambana na corona virus

Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Tanzania lapendekeza makato ya mishahara kupambana na corona virus

Trust None

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
1,260
Reaction score
4,419
Baadhi ya Wabunge wameitaka serikali kusitisha utekelezaji wa miradi mikubwa ili fedha hizo kwa sasa zielekezwe katika mapamabano ya ugonjwa wa Corona.

Sambamba na hilo, wameitaka serikali kupunguza mishahara ya viongozi waandamizi serikalini pamoja na wabunge ili fedha hizo zielekezwe katika kudhibiti ugonjwa huo.
Chanzo: ITV Habari

------
Naunga mkono hoja. Bunge limeanza kukomaa kiakili.
 
We said from day one kuwa mamiradi yanayokausha fedha yasitishwe haraka. Tangu Januari tungekuwa na Trillion zaidi ya 10. Tungeweza kukabiliana na tatizo lolote la kiuchumi.

Magufuli akajifanya mjuaji akaagiza hakuna kitu kitakachosimama. Sasa makampuni yamefunga kila kitu, TRA wameshashindwa kukusanya fedha hata nusu ya miezi iliyopita. Sijui hawa watu wanawaza nini mpaka sasa.

Ila yawezekana Mungu amewafumba macho wasione yanayokuja siku za usoni.
 
Naona Watanzania wengi hatupendi maendeleo, tunataka vitu vidogo vidogo tu. Corona imekuwa kisingizio tu, ila wanasiasa wengi hawataki kuona mafanikio yanakuja Tanzania, tunakuwa kama kuna laana, kwanini waone miradi mikubwa tu na wasione vitu vingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we naye hamnazo kabisa! Nyumbani kwako ukitaka kubana matumizi utapunguza kilo moja ya nyanya ya sh. 2,000/= au kilo ya nyama ya sh. 10,000/=???
 
Msilazimishe kupunguza masrahi halali ya watumishi, ikikubalika kwa wabunge itakuja kwa watumishi wa kawaida.Tutumie vote za dharula, kama watu walikuta pesa katika vote hizo wakazitoa kwa mambo ambayo si ya dharula wawajibike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msilazimishe kupunguza masrahi halali ya watumishi, ikikubalika kwa wabunge itakuja kwa watumishi wa kawaida.Tutumie vote za dharula, kama watu walikuta pesa katika vote hizo wakazitoa kwa mambo ambayo si ya dharula wawajibike

Sent using Jamii Forums mobile app
Unakumbuka ya Tetemeko kagera na MV Nyerere?
 
We know what to do to bring back our economy back to life. What we do not know how to do is to bring people back to life"~Nana Addo Akuffo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom