Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Effectively mkuu [emoji3][emoji3][emoji3] samahani, nikilewa English inapanda.Hata sisi waalimu wa serikali tukatwe 20% ya mishahara yetu hili Tupambane na Corona effectiveness
..sauti za walio wengi bungeniHiyo hoja itapita kwa tabu sana na watakaozuia hoja hiyo ni.......
😅😅😅, umenikumbusha kile kiwimbo cha "kingereza" acha nilewe nitakuonesha.Effectively mkuu [emoji3][emoji3][emoji3] samahani, nikilewa English inapanda.
we naye hamnazo kabisa! Nyumbani kwako ukitaka kubana matumizi utapunguza kilo moja ya nyanya ya sh. 2,000/= au kilo ya nyama ya sh. 10,000/=???Naona Watanzania wengi hatupendi maendeleo, tunataka vitu vidogo vidogo tu. Corona imekuwa kisingizio tu, ila wanasiasa wengi hawataki kuona mafanikio yanakuja Tanzania, tunakuwa kama kuna laana, kwanini waone miradi mikubwa tu na wasione vitu vingine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Itasaidia kuinua pato la nchiWaanze kulipa na kodi
Jiwe kalala juu ya jiweMpaka waagizwe na jiwe
Unakumbuka ya Tetemeko kagera na MV Nyerere?Msilazimishe kupunguza masrahi halali ya watumishi, ikikubalika kwa wabunge itakuja kwa watumishi wa kawaida.Tutumie vote za dharula, kama watu walikuta pesa katika vote hizo wakazitoa kwa mambo ambayo si ya dharula wawajibike
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri ilibidi uandike; "Tupambane na Corona EFFECTIVELY"!Hata sisi waalimu wa serikali tukatwe 20% ya mishahara yetu hili Tupambane na Corona effectiveness