Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
Hata sisi waalimu wa serikali tukatwe 20% ya mishahara yetu hili Tupambane na Corona effectiveness
Halafu serikali ikisikiliza huo ujinga na kusitisha hiyo miradi na contractors kutushtaki kwenye mahakama za "ki-miga" hao contractors watashinda. Baada ya hapo ndege (mali) zetu zitaanza kukamatwa huko nje.Naona Watanzania wengi hatupendi maendeleo, tunataka vitu vidogo vidogo tu. Corona imekuwa kisingizio tu, ila wanasiasa wengi hawataki kuona mafanikio yanakuja Tanzania, tunakuwa kama kuna laana, kwanini waone miradi mikubwa tu na wasione vitu vingine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi nilipoona waziri wa nishati akikomaa eti ujenzi wa bwawa jipya haujawahi kusimama na hautasimama kamwe nikasema hatuna viongozi tuna "Kiki Mongers"We said from day one kuwa mamiradi yanayokausha fedha yasitishwe haraka. Tangu Januari tungekuwa na Trillion zaidi ya 10. Tungeweza kukabiliana na tatizo lolote la kiuchumi.
Magufuli akajifanya mjuaji akaagiza hakuna kitu kitakachosimama. Sasa makampuni yamefunga kila kitu, TRA wameshashindwa kukusanya fedha hata nusu ya miezi iliyopita. Sijui hawa watu wanawaza nini mpaka sasa.
Ila yawezekana Mungu amewafumba macho wasione yanayokuja siku za usoni.