Tetesi: Baadhi ya wabunge wa viti maalum CHADEMA, kupokelewa CHADEMA makao makuu Juni baada ya bunge kuvunjwa

Hata mimi Hawa wabunge wakirudi Chadema nitaumia sana. Hawatakiwi kukaa na watu wanafiki na wazandiki kama Chadema.
sasa maumivu makali utakayopata si uyatafutie ufumbuzi binafsi kama ilivyo kwa wenye chuki binafsi wengine gentleman πŸ’
 
Mnakaribishwa wote enyi wabunge wa viti Maalumu.

Ila wewe Mchepuko wa Mbowe UBUNGE basi tena
 
Chadema haishiriki uchaguzi. Sasa waaenda kuzuia uchaguzi?
gentleman,
wabunge wa COVID-19 wanarudi chadema kwa kwa mapokezi maalumu chadema HQ,

una maoni gani πŸ’
 
kurudi mjengoni sifahamu,
ila watapokelewa chadema HQ kwa kishindo kikuu mwezi June na kiongozi mpya wa Chadema πŸ’
 
Tulia we 🌈
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…