Baadhi ya wachezaji wa Simba wamechoka, huo ndio ukweli

Mchezaji anakuwa sio bora baada ya kumuona akicheza chini ya kiwango. Tulimuona lini Duchu au Mwenda wakicheza mpaka tujiaminishe kuwa hawa sio bora kuliko hata Kapombe aliechoka? Kocha kakariri au anapangiwa kikosi na viongozi uchwara. Mfano zile mechi 2 dhidi ya Wydad unawezaje kumpanga Ally Salim halafu Beno Kakolanya aliefit unamuweka benchi, kama sio uswahili ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…