Baadhi ya wachezaji wa Simba wamechoka, huo ndio ukweli

Baadhi ya wachezaji wa Simba wamechoka, huo ndio ukweli

Mkuu mpira Ni mchezo wa wazi na sote tunaona.....Kama kila siku wanapangwa wao hata wasipokuwa Bora TAFSIRI yake ya haraka Ni wasipokuwa Bora bado Ni Bora kwa wale wanaoshindania namba nao yaani duchu na mwenda.

Kwa upande sio Kama kocha anahusika Sanaa Maana toka aussems mpk Leo Hawa ndio priority Nani wa kulaumiwa???
Mchezaji anakuwa sio bora baada ya kumuona akicheza chini ya kiwango. Tulimuona lini Duchu au Mwenda wakicheza mpaka tujiaminishe kuwa hawa sio bora kuliko hata Kapombe aliechoka? Kocha kakariri au anapangiwa kikosi na viongozi uchwara. Mfano zile mechi 2 dhidi ya Wydad unawezaje kumpanga Ally Salim halafu Beno Kakolanya aliefit unamuweka benchi, kama sio uswahili ni nini?
 
Back
Top Bottom