Hii nimesoma tu! Ila kuna ukwelijuu yakeUlikutana na kausha damu pro, huyo ni aina ya wanawake ambao wanaamini kupewa/kupokea/kutatuliwa matatizo yao(yakiwemo ya kipuuzi) ni jukumu la lazima la wewe mwanaume as long as umeonesha nia ya kuwa nae kwenye mahusiano. Halafu mbaya zaidi hata shukrani hawanaga, siku ukiacha tu kutimiza hayo utakutana na maneno ya shombo.... na wakati wewe unafanya hayo yote unakuta kuna kijana wa ovyo hapo mtaani kwao anambinua anavyotaka bila kumsaidia chochote.
lakini si umeelewaNdo had ushindwe kutenganisha paragraph? Inachosha kusoma bandiko lako. Woiiiiih
What Gold?? Mwenye Gold anatafta loose balls za kulipwa 40,000/-? Tuwe serious bwanaGold digger
Mbona una hasira ndio wewe niniNdo had ushindwe kutenganisha paragraph? Inachosha kusoma bandiko lako. Woiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahMbona una hasira ndio wewe nini
Sina pesa ya kumpa bali ninayo ya kumfanya apate pesa yake mwnyw za kupewa kwangu hazipo mfundishe mtu kuvua samaki na uumpe namna ya kuvua akavue mwnyw kuliko ww ukavue na kumpa siku ukiwa haupo itakuwaje.kikawaida mwanamke hua anafanya kila namna kujiepusha na kupata shida(sometimes hata kufanya kazi anajiepusha napo)
we mpe hela tu hayo mambo ya biashara akitaka atakwambia mwenyew
usikute anafanya kaz sababu hana jinsi
nhahahah.........kila la heriSina pesa ya kumpa bali ninayo ya kumfanya apate pesa yake mwnyw za kupewa kwangu hazipo mfundishe mtu kuvua samaki na uumpe namna ya kuvua akavue mwnyw kuliko ww ukavue na kumpa siku ukiwa haupo itakuwaje.
By definition mimi sio nungayembe. Mume ninaye. Haya address me properly ndo tuendelee.We nungaiyembe kama ww unapata wanaume unaodhania wanaweza kukupa utakacho wako smart vle unavyodhania ukae ukijua hata vidole havilingani
Baba mlezi weee🤣🤣🤣🤣🤣 eti kumtengenezea. Tafuta hela mdogo wangu.Anataka hela ya nani wakati mimi nilitaka mtengenezea namna ambayo ata
No hayo kumfungulia biashara skumwambia ila nilimuuliza tu kama anaweza kufanya biashara bs.
Acha ushamba kuna braza hapa Goba hata kuandika vizuri ujumbe mfupi (sms) kwenye simu hawezi ila kamjengea mwanamke nyumba mpaka fenicha kanunua bila hata kuwazaMwanaume wa hivi ndo atampangishia mtu pa kuishi huyu??[emoji28][emoji28]