Mi mwenyewe kuna demu nimempiga chini hivi hivi, hela anakula Halafu mzigo hatoi, nina nafuu now kwasababu kitendo cha Mimi kuwa nae ni kama namsaidia tu, hana viwango vyangu.na ndicho kinachowaponza miaka hii kila mtu anawakwepa maana tayari wanatia kinyaa kwa tabia zao za kuonyesha tamaa za wazi wazi plus hawajapevuka kiakili hata kidogo.