Baadhi ya wadada huwa mnawapoteza watu wa kuwasaidia sababu ya njaa zenu

Baadhi ya wadada huwa mnawapoteza watu wa kuwasaidia sababu ya njaa zenu

What Gold?? Mwenye Gold anatafta loose balls za kulipwa 40,000/-? Tuwe serious bwana
Sasa unatetea nini hapo, unataka kusema huyo binti ana utimamu wa akili? [emoji848] Acha kutetea mpuuzi.
 
Hili la kuwakanya kuhusu kuendekeza njaa alianza kukanywa Eva wala hata hakusikia huku kutosikia kumerithishwa mpaka kwa hawa tulio nao sasa naomba nikazie kuwaambia waache kuendekeza njaa
na ndicho kinachowaponza miaka hii kila mtu anawakwepa maana tayari wanatia kinyaa kwa tabia zao za kuonyesha tamaa za wazi wazi plus hawajapevuka kiakili hata kidogo.
 
kikawaida mwanamke hua anafanya kila namna kujiepusha na kupata shida(sometimes hata kufanya kazi anajiepusha napo)
we mpe hela tu hayo mambo ya biashara akitaka atakwambia mwenyew
usikute anafanya kaz sababu hana jinsi
Kwann sasa anakuwa muongo muongo, au wewe haujasoma huu uzi ukaelewa? We unadhani ni rahisi kumpatia tu mtu pesa kama vile unampa konda nauli? [emoji848]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ndio, sasa ww huoni hapo km kuna tatizo? Huyo anajimwambafai anataka kumpa maisha binti, binti naye kaanza kuleta changamoto zake. Lkn matokeo yake jamaa kala kona. Halafu amtoe mwenzie kwenye duka akamfungulie banda la chipsi kweli?? Hapo ni yeye alitaka apate kupiga free P huku anajichukulia posho za kwenye chipsi. Huyo binti alikuwa anaenda kupoteza.
Sasa hizi ndizo akili mbovu. Wewe umejuaje kuwa alikuwa anataka kumfanyia hayo yote. Unajua faida ya banda la chipsi?

Mauzo ya chipsi kwa siku unajua ni kiasi gani?

Inawezekana alikuwa na malengo ya kupata side chick wa kupiga tu but its better than huyo binti kuliwa kwa hela za bundle. Akimfungulia biashara ya chipsi pengine angemuongezea income na dili zingemkalia poa.
 
na ndicho kinachowaponza miaka hii kila mtu anawakwepa maana tayari wanatia kinyaa kwa tabia zao za kuonyesha tamaa za wazi wazi plus hawajapevuka kiakili hata kidogo.
Tumewasema mpaka tumechoka
 
Sasa unatetea nini hapo, unataka kusema huyo binti ana utimamu wa akili? [emoji848] Acha kutetea mpuuzi.
Kwamba huyu anayetaka kumuachisha mtu kazi wakati 5000 tu inamshinda ndo unamuona ana utimamu??
 
Hapo wote hawakumaanisha, wamekutana wanaviziana..!! Sasa km alikuwa na nia ya kumsaidia na alimpenda si angemwambia ukweli. Kwani angesema hawezi kufanya hivyo na wakakaa wakashauriana nini wafanye nini kingetokea?? Tatizo ww imekuuma hapo alivyoambiwa amsaidie.
Sasa mwanamke unamtumia kwanini usimsaidie?? Na alishamwambia matatizo yake.!!
Wanawake wa miaka hii hauwezi wafuata kumwambia nimekupenda akakupokea vizuri cha zaidi atakuona ni tapeli. Njia au mbinu ambayo wanaume huwa wanatumia mara nyingi ni kutoa offer ya vitu au msaada ili mwanamke awe attracted na ule ukarimu wa mwanaume na kupata assurance kuwa yupo tayari kumtake care na kumpa matunzo then humo humo wataanzisha mahusiano.

The only time mwanaume anaweza tongoza mwanamke direct ni pale anamafanikio makubwa tena ya kuonekana kwa macho bila maelezo so mwanamke anakuwa na assurance ya Maisha mazuri kwa huyu mwanaume mwenye mafanikio.

Sasa wewe unaongea vitu ambavyo ni very obvious ila unapretend kuwa havipo.

Zamani wanawake tulikuwa hatutongozi kwa mdomo, unamsalimia akikujibu vizuri unaongea na wazee wako,kama wanaikubali familia ya binti na kuona ni fanilia nzuri isiyo na changamoto zozote,wanakwenda kwa wazee wake na kuomba kuozeshws binti yao. Na binti atakukubalia ombi kupitia wazazi wake hata kama hajakupenda ili ataheshimu ushauri wa wazazi wake kukupokea na kuanza maisha na wewe.

But now days mabinti mnaolewa katika mazingira ya kubahatisha sana. Hamna knowledge ya wanaume bora wapoje na wahovyo wapoje. Ninyi mnachotazama ni maokoto yaani kupata chochote toka kwa huyo mwanaume.

Mfano mleta uzi anakwambia kuwa yeye alidhamiria kumfungulia biashara binti ili tu kumtuo yale mazingira ya kulipwa kidogo na kuishi na bosi wake ili aweze pata fursa ya kumchukua yeye mazima. Obvious alikuwa anamtaka kimapenzi, ila wanawake wa kileo ukiwa haupo vema kiuchumi atakuwekea mitihani na mitego mingi ya kitoto ili kupima uwezo wako kifedha sababu hana uhakika kuwa mtafanya maisha but akija mume wa mtu tena mwenye familia kubwa tu ila ana biashara zake na pesa, huyu huyu binti hatofikiria mara mbili na atakubali kila atakachoambiwa kufanya na atakubali kila maelekezo bila kipingamizi na ikibidi hata ujauzito atabeba. Niseme tu mabinti wa sasa wanatumia akili kidogo na ujinga mwingi sana kuwajua wanaume serious.
 
Kwanini uwe na mawazo ya kumsaidia mwanamke?. Wanawake washaweka wazi kwa maneno na vitendo ya kwamba kwao mapenzi ni fursa ya kifedha, sasa kwanini wanaume bado hamtaki kuelewa na kujitoa mkifikiri mnapendwa?. Tafuta mwanamke ambae tayari ana vigezo unavyovitaka kama unataka mke msomi tafuta ambae tayari kashasomeshwa na wazazi wake, kama unataka mke mwenye biashara tafuta ambae tayari ana biashara yake achaneni na huu ujinga wa kusomesha au kufungulia biashara wanawake. You have to know the hypergamous nature of women, their love is opportunistic. Women don't love men they love value. Understand the game.
Umeongea ukweli mtupu.
 
Wanawake wengi wa siku hizi Ni njaa Kali hawana mapenzi kabisa.
Mimi mwanamke akianza kunilitea pigo zake za kijinga huwa nampotezea mazima
 
Huyu kazidi,huwa haudhurii vikao vyetu,
Hela hatuombagi hivyo alafu ni mapema MNOOO,unaombaje hela ya kula au bando ??au shida za nyumbani...hizi huwa inabaki ni Siri yako

Kuna namna ya kumtoa mwanaume pesa 😁
Huyo anaonekana hakuhudhuria vikao kbsa ndo maana anaomba hela kimagumashi magumashi
 
Wanawake wa miaka hii hauwezi wafuata kumwambia nimekupenda akakupokea vizuri cha zaidi atakuona ni tapeli. Njia au mbinu ambayo wanaume huwa wanatumia mara nyingi ni kutoa offer ya vitu au msaada ili mwanamke awe attracted na ule ukarimu wa mwanaume na kupata assurance kuwa yupo tayari kumtake care na kumpa matunzo then humo humo wataanzisha mahusiano.

The only time mwanaume anaweza tongoza mwanamke direct ni pale anamafanikio makubwa tena ya kuonekana kwa macho bila maelezo so mwanamke anakuwa na assurance ya Maisha mazuri kwa huyu mwanaume mwenye mafanikio.

Sasa wewe unaongea vitu ambavyo ni very obvious ila unapretend kuwa havipo.

Zamani wanawake tulikuwa hatutongozi kwa mdomo, unamsalimia akikujibu vizuri unaongea na wazee wako,kama wanaikubali familia ya binti na kuona ni fanilia nzuri isiyo na changamoto zozote,wanakwenda kwa wazee wake na kuomba kuozeshws binti yao. Na binti atakukubalia ombi kupitia wazazi wake hata kama hajakupenda ili ataheshimu ushauri wa wazazi wake kukupokea na kuanza maisha na wewe.

But now days mabinti mnaolewa katika mazingira ya kubahatisha sana. Hamna knowledge ya wanaume bora wapoje na wahovyo wapoje. Ninyi mnachotazama ni maokoto yaani kupata chochote toka kwa huyo mwanaume.

Mfano mleta uzi anakwambia kuwa yeye alidhamiria kumfungulia biashara binti ili tu kumtuo yale mazingira ya kulipwa kidogo na kuishi na bosi wake ili aweze pata fursa ya kumchukua yeye mazima. Obvious alikuwa anamtaka kimapenzi, ila wanawake wa kileo ukiwa haupo vema kiuchumi atakuwekea mitihani na mitego mingi ya kitoto ili kupima uwezo wako kifedha sababu hana uhakika kuwa mtafanya maisha but akija mume wa mtu tena mwenye familia kubwa tu ila ana biashara zake na pesa, huyu huyu binti hatofikiria mara mbili na atakubali kila atakachoambiwa kufanya na atakubali kila maelekezo bila kipingamizi na ikibidi hata ujauzito atabeba. Niseme tu mabinti wa sasa wanatumia akili kidogo na ujinga mwingi sana kuwajua wanaume serious.
Naona umeweka avatar ya Kevin Samuels (RIP), ukiangalia video zake alizokuwa anaongea na wanawake, utashangaa wanawake walivyo na mindset/fantasy/delusions za ajabu.

Mdada mwenye mwonekano wa kawaida, tena single mother, utakuta anataka kuolewa na mwanaume mwenye kipato cha U$D 400,000 kwa mwaka 😁, wakati asilimia 1 tu ya wanaume ndo wana hicho kipato. Zemanda
 
Kama bado hujavuka miaka 45 basi acha kuhonga hovyo hovyo hayo mambo ni ya wazee ndio wanafanya hivyo kwasababu jua lishakuchwa unahongaje kizembe aisee.
 
Wanawake wengi wa siku hizi Ni njaa Kali hawana mapenzi kabisa.
Mimi mwanamke akianza kunilitea pigo zake za kijinga huwa nampotezea mazima
Tatizo moja hapa ni kujitambua.

Tuanze na Definition ya umalaya ambayo kwayo inahusu watu wawili A na B:
A ana kitu B anatafuta kwa A; na
B ana kitu A anatafuta kwa B.
Wanakutana na ku-trade.

Lazima kila mmoja anahitaji na kila mmoja ana chakutoa. Mfano Mwanaume ana upwiru na mwanamke ana K yake.
Kwa vile upwiru una nafasi yake katika maisha ya mwanadamu, kawaida Lazima kuwepo na ushawishi kutoka kwa mwanaume (pesa au ndoa au kazi au cheo au marks etc) na mwanamke awe na uhitaji wa hicho alichonacho mwanaume. Mtongozo, kujimwambafai na pesa hutumika.

Tatizo kubwa ni kuwa mwanamke akiamka asubuhi, mitongozo ni mingi ajabu. Mwisho wa siku hajui nani ni mkweli na nani ni mwongo maana wengi washatendwa. Hivyo wengine hutumia njia ya kulia lia shida ili kuona kama anayemtaka ni genuine. Hapo ndipo wanapokosa walio genuine.

Kuna waombaji wa aina mbili, waliooa na mabachela. Wasichana wanajua jinsi ya kudeal na waliooa maana anajua hakuna cha ndoa, huyu ni upwiru wake na yeye ni kumsupply K tu. Hivyo anaangalia maokoto tu.

Kwa mabachela, huo ni mtihani mgumu maana wengi wa wasichana wanatamani ndoa. Usisahau mabachela nao wanatumia kutooa kupata K za bure.

Kwa minajiri hii, mambo haya hayana fomula, ni kujaribu bahati yako, akikuchunuku hewala akikataa, unasema kimoyomoyo wasalimie.
 
Aisee hujui kuna watu wanalipwa elfu 30 tu kwa mwezi ww unashangaa elfu 40 shukuru Mungu una pa kuamkia asubuhi na unapata pesa nyingi mpk unashangaa mtu kulipwa elfu 40 kwa mwezi. Wapo wanaotafuta hata elfu 20 kwa mwezi hawapati. Jitoe akili tu.
Nina ushuhuda wapo wanaotafuta elfu 20 hawapati
 
Back
Top Bottom