Baadhi ya wadada kwakweli mnajua jinsi ya kutupa mfadhaiko sisi wanaume

Mkuu tupo kwaresma
 
Kuonesha kwamba huna utani ungempangusa makalio kwa kisingizio kuwa ana vumbi au uchafu kisha akistuka unamkonyeza macho na tabasamu zito.
 
Vipi hujamnunulia sabuni?
 
Wee jamaa kavu sana 😂
 
hlf mm ni mtu wa kusoma body language za watu kujua wanataka kuleta ujumbe gani ambao hawawezi kuuongea mdomoni, mpaka Leo sijajua alimaanisha nini, nafikiri alitaka attention yangu iwe kwenye kalio lake, sijajua kwanin
Nilipofika kwenye hiyo aya nikajua kabisa leo kweli simba hatoboi mbele ya prison
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…