binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Naomba nikuhakikishie kuwa ndivyo wanapenda hivyo, wala hakuna kinachowanyima raha, As long as unawapa hela na huwaombi papuchi.Sina shida na wao kutonipenda, nimegundua trick mpya sahivi, kwa vile niko nao maeneo ya jirani, nawaona kila siku, ninachofanya ni kuwa wakiniomba hela au favor ingine, kama nina ya ziada na najisikia kuwapa huwa nawapa, kama sijisikii kuwapa, siwapi.
Ila ninachowanyima kabisa ni muda wangu na attention yangu, ukizingatia nliwatongoza ndo wakaanza mizinga, mm nilichofanya ni kwamba nliwatoa tu akilini, so na interact nao, nacheka nao ila papuchi siwaombi, siwaiti gheto, siwaaliki out on dates, sometimes wakitaka kuongozana na mimi huwa nawakwepa.
Walitaka hela kwangu, that's what I gave them, walitegemea jinsi ninavyowapa hela basi nitawaomba papuchi, cha kuwashangaza mimi huwa naongea nao tu bila kuwaomba papuchi, na kiuhalisia Sina mpango wa kuwaomba papuchi, nahisi hii kitu kwa kiasi flani inawanyima raha π binti kiziwi Extrovert Titicomb joseph1989
Kitachowanyima raha ni wewe kutokuwapa hela zako.