Baadhi ya wadada ukipiga nao story, utasema wife to be huyu hapa, ingia nao kwenye mahusiano ndo utajua hujui

Baadhi ya wadada ukipiga nao story, utasema wife to be huyu hapa, ingia nao kwenye mahusiano ndo utajua hujui

Sina shida na wao kutonipenda, nimegundua trick mpya sahivi, kwa vile niko nao maeneo ya jirani, nawaona kila siku, ninachofanya ni kuwa wakiniomba hela au favor ingine, kama nina ya ziada na najisikia kuwapa huwa nawapa, kama sijisikii kuwapa, siwapi.

Ila ninachowanyima kabisa ni muda wangu na attention yangu, ukizingatia nliwatongoza ndo wakaanza mizinga, mm nilichofanya ni kwamba nliwatoa tu akilini, so na interact nao, nacheka nao ila papuchi siwaombi, siwaiti gheto, siwaaliki out on dates, sometimes wakitaka kuongozana na mimi huwa nawakwepa.

Walitaka hela kwangu, that's what I gave them, walitegemea jinsi ninavyowapa hela basi nitawaomba papuchi, cha kuwashangaza mimi huwa naongea nao tu bila kuwaomba papuchi, na kiuhalisia Sina mpango wa kuwaomba papuchi, nahisi hii kitu kwa kiasi flani inawanyima raha 😁 binti kiziwi Extrovert Titicomb joseph1989
Naomba nikuhakikishie kuwa ndivyo wanapenda hivyo, wala hakuna kinachowanyima raha, As long as unawapa hela na huwaombi papuchi.

Kitachowanyima raha ni wewe kutokuwapa hela zako.
 
Sisi wanaume pia tuna mapungufu mengi, ila kinachotushangaza ni kuwa inakuaje sahivi karibia kila mdada ana upungufu unaofanana, huo wa kuomba omba hela, Yani ni as if wameambiana To yeye
Kumbe tatizo ni kuomba hela🤔
 
Naomba nikuhakikishie kuwa ndivyo wanapenda hivyo, wala hakuna kinachowanyima raha, As long as unawapa hela na huwaombi papuchi.

Kitachowanyima raha ni wewe kutokuwapa hela zako.
Kuhusu kutokuwapa hela mbona long time nlikata huo mrija, na wao walivoona nawanyima kila saa, wakaacha vizinga. Kama huyo mdada mmoja alivyo na sura ya upole, hata ongea yake na the way she looks, she doesn't deserve kuwa mpiga vizinga kwa kweli

Ila nlichogundua wadada wengi wapiga vizinga hawako kwenye mahusiano ya maana, mara nyingi nawaonaga wako single binti kiziwi
 
Natafuta ajira anasema ukweli.

Sana sana hapo anachoona kakusaidia ni zile I love u my darlingz usiku mwema, mume, mylove.

Sasa wewe jifahye kidume. Mwenzako anafungua maduka na biashara kwa mshahara wake wewe wakwako unajifanya unahuruma kutoa toa.
Ni usenge mkuu iz huruma zinatufanya poor.
 
Natafuta ajira anasema ukweli.

Sana sana hapo anachoona kakusaidia ni zile I love u my darlingz usiku mwema, mume, mylove.

Sasa wewe jifahye kidume. Mwenzako anafungua maduka na biashara kwa mshahara wake wewe wakwako unajifanya unahuruma kutoa toa.
Aisee ni ungese sana huu kuna dem wangu kila wiki anafanya saving za 200k na hana kaz ya kueleweka na juzi kanunua simu kali muda huo huo anataka niwe namjali kwa kila kitu nikaona hapa ni kama ninamtengenezea mwenzangu maisha ilihali mie yakwangu ayaend
 
Cha ajabu nlikuwa YouTube juzi, wanaume wa china nao wanalalamika kuhusu wadada wa kichina kuwapiga vizinga, hivyo kupelekea asilimia kubwa ya wanaume china kuacha kutongoza, na wanawake wengi kule kuwa single, kuna mwanaume mmoja wa china aliesema hakatai kuhudumia, ila mdada hujaingia nae kwenye mahusiano kwanini utoe hela kila siku.

Kama sisi wanaume wa bongo tunavolalamika, Nigeria kule nairaland forum wanaume wa Nigeria pia wanalalamika kupigwa vizinga Bush Dokta
Daah nimecheka sana
 
Ukiona mwanamke yupo single na ashafika kwenye age ya kuolewa tambua ni red flag iyo, wanaume waliopita hapo na kukimbia sio wajinga.
Ni kweli mkuu kama huyu wangu wasasa aliwahi niambia kuwa ex wake alimtapeli 500k akalala mbele nikajiuliza why ila baada ya kuingia nae mchezoni nkaona kumbe mwamba alikuwa sawa hata mimi nikipata nafas nampiga vilevile
 
Halafu wdada wanaopiga mizinga wanachonishangaza, ofa wanazokuomba, wao wenyewe hata wakiwa on their best days hawawezi kukupa hizo ofa, hata kama hizo ofa ni ndogo kiasi gani.

Mfano mdada anaekuomba umnunulie andazi, ukichunguza vizuri yeye mwenyewe hata apate sh billion 1 muda huo, hawezi kuwaza kukununulia wewe andazi.

Na mara nyingi ukiona mdada hamfahamiani vizuri kihivyo, kakununulia kitu kidogo tu kama juisi tu au hata biskuti, bila wewe kumuomba, 7 times out of 10 ujue she is in love with u mpaka basi, maana zawadi zao hazitokagi kizembe 😁 Extrovert Natafuta Ajira
Amini mkuu kama mmoja juzi nilienda nae dynasty tuka have fun na nilitimia kama 150k kesho yake nikaja kumuuliza umeenjoy akasema yes kaenjoy kulingana na kipato tulichonacho it means nikama ajaridhika nkaona hapa smna mtu
 
Wazee wa Friendzone,wanachezea mizinga. Sometimes unaogopa kuzoeana na wanawake sababu ya mizinga.

Zamani tulikuwa tunaambiwa ukimtaka mwanamke,jenga nae urafiki ila siku hizi unajitafutia matatizo.
😂😂😂😂
 
Habarini,

Kuna baadhi ya wadada ni majirani zangu, kimuonekano ni wazuri tu, wameajiriwa, wapo kwenye umri wa kuolewa lakini hawajaolewa, kwa nyakati tofauti nilibahatika kupata wasaha wa kukaa nao chini na kupiga story kuhusu mahusiano ya kimapenzi waliowahi kupitia. Tuliongea mengi ila common points zinazofanana ambazo hao wadada wali-share na mimi kwenye mazungumzo yao ni hizi hapa:

1) Wanamwamini Mungu, wanasema kwenye past relationships zao, waliwaombea na kuwatolea sadaka kanisani wanaume walio-date nao.

2) Hawapendi kuwa na mahusiano na wanaume wengi tofauti, wali-claim mdada ukisex na wanaume tofauti unajibebea maroho ya mikosi etc

3) Waliwahi kutoa emotional support even financial support kwa boyfriends zao wakikwama kipesa, wanaamini kuna kupata na kukosa, wanaamini kuanza na mwanaume from the scratch mpaka anatoboa kiuchumi.

4) Walijaribu kufanya relationship zao zilizopita zi-work lakini ikashindikana kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao.

5) Wapo real/genuine, ni hardworking wanapenda kupika/traditional feminine role za mdada ndani ya nyumba.

Cha ajabu kwenye interaction yangu na wao (kwa wiki chache nlizojaribu kuwachombeza kimapenzi), matendo yao ni tofauti na wanachoniambia, mizinga kama yote, almost every week mtu anakuomba hela, au favor nyingine ndogo ndogo, wakati kidume hata hujamsumbua kumuomba papuchi, na mtu anakuomba hela wakati na yeye ana mshahara wake kama wewe, pengine si ajabu kakuzidi hata savings. Ukiangalia huyo mdada anacho-add kwenye maisha yangu, nehi

Sasa sijajua application ya hayo maneno waliyoniambia wanaifanyia wapi au walivyonipa hizo story walihisi wanamchota pimbi 😁

cc: Extrovert DeepPond Natafuta Ajira
Bro hizo ni kampeni za kutaka kumiliki jimbo. Usiwaamini hawa kenge
 
Kuhusu kutokuwapa hela mbona long time nlikata huo mrija, na wao walivoona nawanyima kila saa, wakaacha vizinga. Kama huyo mdada mmoja alivyo na sura ya upole, hata ongea yake na the way she looks, she doesn't deserve kuwa mpiga vizinga kwa kweli

Ila nlichogundua wadada wengi wapiga vizinga hawako kwenye mahusiano ya maana, mara nyingi nawaonaga wako single binti kiziwi
Yeah verry sure blood kama huyu wangu najiuliza why nimemkuta single kumbe wanaume wengi walishakimbia mabalaa yake
 
Back
Top Bottom