lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 17,951
- 23,705
Nimekutana na baadhi ya wadau wa hotel kubwa kubwa hapa Arusha pamoja na Tour operators wanasema utalii umeongezeka kwa kasi katika msimu huu ulioanza mwezi wa sita 2018. Na sababu kubwa ni Serikali ya Magufuli imeitangaza nchi sana.
Agents wengi wa kimataifa sasa wameongeza kasi ya kutafuta makampuni ya kitalii Tanzania ili kushirikikiana na. Hapo nyuma Kenya ndio iliyokuwa inanufaika na watalii wa kimataifa kwa ajili ya wildlife tourism na Kilimanjaro trekking kwa sababu ya kujitangaza sana
Zile kelele za wadau wa utalii zilizopigwa sana mwaka jana zimepotea kimoja, jama wako bize na wateja wengi kulika kawaida.
Jambo lingine la kuipongeza serikali pamoja na waziri Kigwangala ni kubadilisha sheria za kodi ya tala na kufanya kampuni ndogo kulipia tala ndogo ( gari 1-5) hadi dola 500 kwa mwaka na makampuni makubwa kulipa zaidi. Hapa Arusha sasa hivi mpaka vile vikampuni vya mfukoni vina tala na vinalipa kodi TRA
HONGERA MAGUFULI NA SERIKALI YAKO. HUKO NYUMA HATUKUKUELEWA LAKINI SASA TUMEKUELEWA