Baadhi ya wadau wa hotel kubwa kubwa hapa Arusha pamoja na Tour operators wanasema utalii umeongezeka kwa kasi

lembu

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2009
Posts
17,951
Reaction score
23,705
Nimekutana na baadhi ya wadau wa hotel kubwa kubwa hapa Arusha pamoja na Tour operators wanasema utalii umeongezeka kwa kasi katika msimu huu ulioanza mwezi wa sita 2018. Na sababu kubwa ni Serikali ya Magufuli imeitangaza nchi sana.
Agents wengi wa kimataifa sasa wameongeza kasi ya kutafuta makampuni ya kitalii Tanzania ili kushirikikiana na. Hapo nyuma Kenya ndio iliyokuwa inanufaika na watalii wa kimataifa kwa ajili ya wildlife tourism na Kilimanjaro trekking kwa sababu ya kujitangaza sana
Zile kelele za wadau wa utalii zilizopigwa sana mwaka jana zimepotea kimoja, jama wako bize na wateja wengi kulika kawaida.
Jambo lingine la kuipongeza serikali pamoja na waziri Kigwangala ni kubadilisha sheria za kodi ya tala na kufanya kampuni ndogo kulipia tala ndogo ( gari 1-5) hadi dola 500 kwa mwaka na makampuni makubwa kulipa zaidi. Hapa Arusha sasa hivi mpaka vile vikampuni vya mfukoni vina tala na vinalipa kodi TRA

HONGERA MAGUFULI NA SERIKALI YAKO. HUKO NYUMA HATUKUKUELEWA LAKINI SASA TUMEKUELEWA
 
Wahusika waendelee kutangaza bado kuna vingi Sana vivutio, mathalani kule Mbeya kuna maji ambayo ukiweka kiazi kibichi kinaiva.
 
Kwa hiyo mzunguko wa pesa Arusha umeongezeka? Na ongezeko la utalii umeleta tija kwa wakazi wa Arusha na viunga vyake? Kama ni hivyo basi pongezi kwa Serikali ya awamu ya 5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekutana na baadhi ya wadau wa hotel kubwa kubwa hapa Arusha pamoja na Tour operators wanasema utalii umeongezeka kwa kasi katika msimu huu ulioanza mwezi wa sita 2018. Na sababu kubwa ni Serikali ya Magufuli imeitangaza nchi sana.
Agents wengi wa kimataifa sasa wameongeza kasi ya kutafuta makampuni ya kitalii Tanzania ili kushirikikiana na. Hapo nyuma Kenya ndio iliyokuwa inanufaika na watalii wa kimataifa kwa ajili ya wildlife tourism na Kilimanjaro trekking kwa sababu ya kujitangaza sana
Zile kelele za wadau wa utalii zilizopigwa sana mwaka jana zimepotea kimoja, jama wako bize na wateja wengi kulika kawaida.
Jambo lingine la kuipongeza serikali pamoja na waziri Kigwangala ni kubadilisha sheria za kodi ya tala na kufanya kampuni ndogo kulipia tala ndogo ( gari 1-5) hadi dola 500 kwa mwaka na makampuni makubwa kulipa zaidi. Hapa Arusha sasa hivi mpaka vile vikampuni vya mfukoni vina tala na vinalipa kodi TRA

HONGERA MAGUFULI NA SERIKALI YAKO. HUKO NYUMA HATUKUKUELEWA LAKINI SASA TUMEKUELEWA
Ssfi
 
Tangu wakati wa JK idadi ya watalii imekua ikiongezeka kila mwaka tatizo limeendelea kubaki pale pale kwamba karibu wote wanaokuja Tz wanaanzia Kenya na ndipo mawakala wao walipo, Hivyo ikitokea machafuko yeyote kenya yanatuathiri moja kwa moja na sisi yaan kama vile sisi ni sehemu ya kenya. hili unaweza kulielewa kwa mapana yake endapo umezama kidogo kwenye utalii.
 
Hili si kweli, upande wa pili hapa Idadi na mapato ya utalii yalipungua kwa misimu miwili, pia ukuwaji wa sekta Tz ni mkubwa kuliko Kenya na nchi nyingine za E.A.
Lile tishio la ongezeko ya kodi 2016 lingeua utalii limekuwa kinyume kabisa na ilivyotarajiwa.
Najishughulisha kwenye sekta hii na sijui ni muujiza gani hawa jamaa walifanya au ndo tunakula matunda ya kutangazwa miaka ya nyuma sijui
 
Back
Top Bottom