Uchaguzi 2020 Baadhi ya wagombea washauriwe kusitisha kampeni, hawana jipya

Kwa wizi akisaidiwa na nyie?

Safari mumuase asijaribu.

Mkapa masononeko hadi aliyaweka kitabuni.

Tunataka uchaguzi ulio huru na wa haki si pungufu si zaidi.
Haha bahati nzuri binadamu ni wa chache wanayosema kuyatenda.
 
Ungefanya jambo la maana kama ungemwambia Lissu asitishe kampeni maana iko wazi na hata yeye anajua kuwa hatoshinda. Watanzania bado tuna imani na Magufuli na tutamchagua tena
Usiwasemee watz sema wwe.wengine tunaona mda hauendi tukalisambaratishe jiwe lisiumize Tena watu
 






Unaaakil sana lakn hawa hawaoni yaani mtu kawa risk maisha kipnd cha corona mwenye akili anawasaidia lakn naona ndoo anapingwa wanashindwa kurudi nyuma kumbuka alisema tuweke lock down baada ya mh kukataa akaibuka na kusema hatupendi kama alikuwa ana lengo hilo kwani kaja huk na anajua tuko ktk hatr si angali kaa huk huk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…