Uchaguzi 2020 Baadhi ya wagombea washauriwe kusitisha kampeni, hawana jipya

Uchaguzi 2020 Baadhi ya wagombea washauriwe kusitisha kampeni, hawana jipya

Kwa wizi akisaidiwa na nyie?

Safari mumuase asijaribu.

Mkapa masononeko hadi aliyaweka kitabuni.

Tunataka uchaguzi ulio huru na wa haki si pungufu si zaidi.
Haha bahati nzuri binadamu ni wa chache wanayosema kuyatenda.
 
Ungefanya jambo la maana kama ungemwambia Lissu asitishe kampeni maana iko wazi na hata yeye anajua kuwa hatoshinda. Watanzania bado tuna imani na Magufuli na tutamchagua tena
Usiwasemee watz sema wwe.wengine tunaona mda hauendi tukalisambaratishe jiwe lisiumize Tena watu
 
Nilifikiri unashauri waache kampeni kwa sababu ya corona ila naona corona imetulia inaheshimu kampeni au pengine bora watu wafe tu maana kampeni ni muhimu sana kuliko uhai wa mtu.

Ila tukumbuketu kuwa kama Magufuli angetumia sayansi kukabiliana na corona(kama ambavyo walikuwa wakipiga kelele humu kuwa afanye hivyo) basi sasa hata hizo kampeni tungekuwa tunazisikiliza kwenye majumbani na kusingekuwa na wa kushauriwa kuacha kampeni.






Unaaakil sana lakn hawa hawaoni yaani mtu kawa risk maisha kipnd cha corona mwenye akili anawasaidia lakn naona ndoo anapingwa wanashindwa kurudi nyuma kumbuka alisema tuweke lock down baada ya mh kukataa akaibuka na kusema hatupendi kama alikuwa ana lengo hilo kwani kaja huk na anajua tuko ktk hatr si angali kaa huk huk
 
Back
Top Bottom