Kuna suala la wahitimu wa mwaka 2024 katika Chuo Kikuu cha SAUT Mwanza ambao hadi leo hawajapata vyeti vyao. Kila tunapofika chuoni kuulizia, tunaambiwa bado vipo kwenye mchakato.
Tangu mwaka 2024 hadi sasa, mchakato huo umechukua muda mrefu bila maelezo ya kina. Tunaomba mamlaka husika kutoa ufafanuzi kuhusu sababu ya kuchelewa kwa vyeti hivyo na lini wahitimu watavipata.
Vyeti hivi ni muhimu kwa wahitimu, hasa katika kuomba ajira na kuendelea na masomo.