A
Anonymous
Guest
Nina hoja kuhusu Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) naomba kuwasilisha moja ya jambo ambalo halijatolewa ufafanuzi kamili kuhusu mwenendo (progress) ya ulipwaji wa Overpayment kwa sisi ambao tumeshamaliza.
Kuna ambao tayari wamelipwa lakini kuna wengine bado pesa haijaingia na hakuna ufafanuzi wowote. Hatupati kauli sahihi zenye kuridhisha pindi tunapojaribu kuuliza.
Kuna ambao tayari wamelipwa lakini kuna wengine bado pesa haijaingia na hakuna ufafanuzi wowote. Hatupati kauli sahihi zenye kuridhisha pindi tunapojaribu kuuliza.