KERO Baadhi ya Wahitimu wa UDOM haturejeshewa overpayment tulizofanya kwenye ada

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Nina hoja kuhusu Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) naomba kuwasilisha moja ya jambo ambalo halijatolewa ufafanuzi kamili kuhusu mwenendo (progress) ya ulipwaji wa Overpayment kwa sisi ambao tumeshamaliza.

Kuna ambao tayari wamelipwa lakini kuna wengine bado pesa haijaingia na hakuna ufafanuzi wowote. Hatupati kauli sahihi zenye kuridhisha pindi tunapojaribu kuuliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…