Baadhi ya Wahudumu TTCL wana kauli za hovyo hovyo

Baadhi ya Wahudumu TTCL wana kauli za hovyo hovyo

Scott junior

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2022
Posts
3,705
Reaction score
5,540
Juzi nimetoka ofisi za TTCL mhudumu kanambia kaa hapo kwanza alafu hivi viti vipo mbele ya ofisi yake sijui ndio tuite meza.
IMG_9780.jpeg
IMG_9781.jpeg


Mda wote ananiangaliaa, nimekaa wee mpaka nikachoka akawa anapitqpita hapo nikamwmbia vp mbona sikuelewi, akasema et amesahau kama ameniambia nisubirie aisee acheni kabsa.

Alfu na nyinyi wahudumu wa NIDA pale kawe na wadada wa 3 na UHAMIAJI pale Tabora KipindI mnataka kuniletea Pigo za Kiwaki mkataka Kuniona wa kuja kidogo niwabandike makofi .

Kikubwa uwe na Bando Tu ukienda maeneo hayo bila kusahau powe bank
 
Ofisi nyingi za serikalini ni kutoa rushwa au kuwa na connection uharakishiwe mambo yako

Serikalini watumishi almost 90% hawana motivation ya kazi, hakuna sehemu ambayo kuna pesa rahisi na uwajibikaji mdogo kama kazi za serikali, wana uhakika wa kula kodi za wananchi mpaka uzeeni hata kama kampuni linaingiza hasara miaka 30.
 
Kipindi cha anko magu watumishi wote serikalin waliwajibika hadi raha.

Ukienda ofsin watakukaribsha, mpaka unajiona wa mhimu kweli.
Saiv sasa duuuu
 
Ungekaomba namba, uje kufanya malipizo kupitia mwili wake
 
Huyo dada mbona kama amekalia Kuni ya kiume si kwakulembua huko macho

Seeikalin hakujawah kuwa na uwajibikaji kwao hakuna KPI za kaz si mnamuona mama wa ELIMU MBALIMBALI kutoka Pakistani
 
Back
Top Bottom