Ofisi nyingi za serikalini ni kutoa rushwa au kuwa na connection uharakishiwe mambo yako
Serikalini watumishi almost 90% hawana motivation ya kazi, hakuna sehemu ambayo kuna pesa rahisi na uwajibikaji mdogo kama kazi za serikali, wana uhakika wa kula kodi za wananchi mpaka uzeeni hata kama kampuni linaingiza hasara miaka 30.