Pre GE2025 Baadhi ya Wajumbe Mkutano Mkuu CHADEMA wamkataa Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kabisa Lissu hafai kuwa Mwenyekiti CHADEMA.
 
Hivi huyu Molemo ndiye yule mkurugenzi wa habar wa CDM
 
Jidanganye!
 
Una akili kubwa sana.
 
Tayari umeshaanza kiyaita maji mma
 
Lissu ni game changer kwa sasa katika siasa za Tanzania, atabadili upepo wa siasa za Tanzania muda mfupi ujao.,
 
Wamkatae tu lakini wajue Washabiki wengi wa CHADEMA mtaani wamemchoka Mbowe. Siasa za Tanzania ni za mkumbo, bendera fuata upepo. Huko mtaani ukiwauliza kwa nini hawamtaki Mbowe, jibu ni moja tu, kakaa muda mrefu apishe wengine.

Sasa kama wajumbe wanaenda kumchagua Mbowe kwa ajili ya uwezo wake, wajue mtaani hakubaliki na hata akiitisha mkutano wa hadhara aandae na magari ya kusombelea watu tofauti na miaka ile ya kina Silaa watu wanajipelekea wenyewe.
 
Mbowe kachokwa na kila mwanachadema mwenye akili
 
Mbowe kachokwa na kila mwanachadema mwenye akili
Tena baada ya Mbowe kushinda, WanaCCM watakuwa wanamtumia Mbowe kama reference kumaanisha udhaifu wa upinzani TZ.

Sema nimemgundua Mbowe ameishajikatia tamaa na CHADEMA kuhusu kuleta mabadiliko ya kisiasa nchini bali anataka apate hela tu kwa sasa. Kweli CHADEMA inaenda kumfia Mbowe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…