Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 817
- 2,180
Dunia iko kasi sana aisee,
wiki 1 nyuma nimetumiwa msg facebook na demu wangu ambae tuliachana mwaka 2017.
Sikujibu, baada ya siku 2 akaandika namba yake, kibinaadamu nikaona nimcheki asije sema naringa.
Nikampigia tukasalimiana basi kila mtu akala kona yake.
Huyu dada aliolewa na mie sina mazoea na wake za watu, saa katika mazungumzo nikamuita MKE WA MTU, akawaka nanukuu, "UNANIITA MKE WA MTU UNATAKA KUNINYIMA NINI"? Nikahisi labda waliachana na mumewe na sasa yupo mwenyewe.
Sikutaka kuulizia direct ila nikatumia mbinu ya kumuomba tuonane (Yuko Arusha na mie nipo mkoa mwingine) ili kama yupo free ntajua. Akajibu hatoweza kutoka mumewe yupo labda tukutane mkoa X anaenda kwenye sherehe bila mumewe na inajulikana haitaleta shida.
Nikampima tena, nikamwambia Nilikuwa na Safari ya Arusha ndio maana nilitaka tuonane, sasa kukutania mkoani kisa kuonana tu sio issue tutabonga hata video call. Alichonijibu, WE MWANAUME UNARINGA SANA NINGETAKA KUKUONA NINGEOMBA PICHA AU NINGEANGALIA FACEBOOK PICHA ZAKO.
Kweli HANDS UP, imagine kuna mtu naye anajua ana mke.