johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mtaje wewe bwashee!Mbona yule wa Kawe sijui Ubungo humtaji? ccm mmekaa kimaslahi sana
Ina maana idadi ya watakaoishi kama mashetani lazima iongezeke. Unamzuia raia mwenzako, kwa sababu wewe ndio una haki zote, haki ya kugombea nafasi ya uwakilishi, na si ajabu awamu ijayo usiwepo kwenye huo ukuu wa wilaya au mkoa.Hivi hii ya kuwapiga biti hawa wakuu wa wilaya/mkoa ina maana gani?
Ina maana mtaka mawili hukosa yote!Hivi hii ya kuwapiga biti hawa wakuu wa wilaya/mkoa ina maana gani?
Walizidi uroho,,mtu una kazi nzuri,,mshahara wa milioni moja,,unapata wapi tamaa ya kazi nyingine,nyumba ya bure gari ya kutembelea na mafuta fulltank kila siku,posho za ziara yaani mda wote uko full,,hela ya mishikaki,viti moto na bia haipigi chengaHivi hii ya kuwapiga biti hawa wakuu wa wilaya/mkoa ina maana gani?
Ndio nani huyo bwashee?!DAB hazuiliki