Baadhi ya Wakuu wa Mikoa wamenyong'onyea baada ya ndoto za Ubunge "kuyeyushwa"

Baadhi ya Wakuu wa Mikoa wamenyong'onyea baada ya ndoto za Ubunge "kuyeyushwa"

Ndio nani huyo bwashee?!
naona ana maana DAB ni Bashite kwa Kawe ya Halima Mdee na Gwajima
Yohana Mbatizaji umemsahau Gambo kwa Lema
Muro kwa Arumeru
Sabaya kwa Mbowe
Mwanri kwa Mollel naibu waziri wa afya
 
Ila mtu kama Mwanri angekuwa mtamu sana angerudi Mjengoni aendelee kutuchekesha wangempa Tamisemi yake
 
waache tamaa kila siku siasa majina yaleyale ndo maana hakuna mawazo mapya wakae huko walikoteuliwa
 
Back
Top Bottom