Ukwaju JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 13,384 Reaction score 11,286 Jun 26, 2020 #21 johnthebaptist said: Ndio nani huyo bwashee?! Click to expand... naona ana maana DAB ni Bashite kwa Kawe ya Halima Mdee na Gwajima Yohana Mbatizaji umemsahau Gambo kwa Lema Muro kwa Arumeru Sabaya kwa Mbowe Mwanri kwa Mollel naibu waziri wa afya
johnthebaptist said: Ndio nani huyo bwashee?! Click to expand... naona ana maana DAB ni Bashite kwa Kawe ya Halima Mdee na Gwajima Yohana Mbatizaji umemsahau Gambo kwa Lema Muro kwa Arumeru Sabaya kwa Mbowe Mwanri kwa Mollel naibu waziri wa afya
Mafiningo JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 4,434 Reaction score 4,673 Jun 27, 2020 #22 johnthebaptist said: Ndio nani huyo bwashee?! Click to expand... Tupendane wazee
kasulavenance JF-Expert Member Joined Jan 23, 2020 Posts 759 Reaction score 917 Jun 29, 2020 #23 Ila mtu kama Mwanri angekuwa mtamu sana angerudi Mjengoni aendelee kutuchekesha wangempa Tamisemi yake
Ila mtu kama Mwanri angekuwa mtamu sana angerudi Mjengoni aendelee kutuchekesha wangempa Tamisemi yake
White party JF-Expert Member Joined May 5, 2015 Posts 1,037 Reaction score 1,180 Jun 30, 2020 #24 waache tamaa kila siku siasa majina yaleyale ndo maana hakuna mawazo mapya wakae huko walikoteuliwa