Baadhi ya Wamarekani washangazwa n kitendo cha Elon Musk kumpeleka mtoto wake ndani ya Oval House kukutana na Donald Trump

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Siku ya jana, Elon Musk alimtembelea Rais wa Marekani Donald Trump kwenye ofisi ya Rais maarufu kama Oval Office.

Kilichovutia na kushtua wengi ni baada ya kumleta mwanae katika kikao chake na Donald Trump, jambo ambalo limeleta hisia tofauti kwa wachambuzi mbalimbali wa siasa.

Kupitia mitandao ya kijamii, Reublicans wengi wamesifia kitendo cha Elon Musk kumleta mwanae Ikulu wakisema kuwa, hiyo ni ishara ya kukuza na kuheshimisha taasisi ya familia pamoja na utamaduni mzuri wa kupata watoto.

Upande wa Democrats, wengi wameonesha kushangazwa na kitendo hicho wakisema kuwa, Elon kumpeleka mwanae Oval Office tena kuwa na na waandishi wa habari ni ishara ya dharau na kutokuheshimu ofisi ya Rais







Mcheki mtoto wa elon musk akiwa ikulu ya white house chini ya meza ya Rais trump!


Your browser is not able to display this video.



 
huyo mtoto na baba ake hawaachanagi mleta umbe huyo mtoto hayuko chini meza ya RAIS

Yuko pembeni
 
Tambueni ya kwamba Elon Musk ndio tajiri namba moja duniani, alafu sio tajiri tu lakini ana miliki teknolojia ambayo ndio inategemewa duniani kwa hiyo ana superiority complex hata akiwa na Trump sababu fedha zake kwa sehemu zimechangia kumuingiza ikulu Trump, hapo ingekuwa ni mtu wakawaida asiyekuwa na sifa hizo angetolewa nduki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…