Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na hii zuri zaidi ,kuliko Biden aliyetumia ofisi mwanae kujinufaisha na mikataba mbalimbali ya biashara kupitia ikulu ...trump huyo ni mtoto mdogo ni kuamwandalia nyota tu
Kabisa nakubaliana na wewe. Tena ndani ya Ikulu kavaa kapelo. 😛Tambueni ya kwamba Elon Musk ndio tajiri namba moja duniani, alafu sio tajiri tu lakini ana miliki teknolojia ambayo ndio inategemewa duniani kwa hiyo ana superiority complex hata akiwa na Trump sababu fedha zake kwa sehemu zimechangia kumuingiza ikulu Trump, hapo ingekuwa ni mtu wakawaida asiyekuwa na sifa hizo angetolewa nduki.