Tambueni ya kwamba Elon Musk ndio tajiri namba moja duniani, alafu sio tajiri tu lakini ana miliki teknolojia ambayo ndio inategemewa duniani kwa hiyo ana superiority complex hata akiwa na Trump sababu fedha zake kwa sehemu zimechangia kumuingiza ikulu Trump, hapo ingekuwa ni mtu wakawaida asiyekuwa na sifa hizo angetolewa nduki.