Uchaguzi 2020 Baadhi ya wana CCM wanaotafuta nafasi za Ubunge, wameanza usumbufu wa rushwa

Kwa hasira unga bundle la mwezi mzima
 
Hii ya majina matatu imepitwa na wakati. Subiri tar 11. CCM wanabadilika kila wakati. Nadhani wanajaribu kuyalea matatizo waliyonayo ndani ya chama. Rushwa.
 
Chukueni pesa hizo
 
Pesa zingine ni kuleta gundu tuu kwenye maisha yako.
Kula za hawa wanao UA mpaka ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi ni matatizo matupu.
Yataka moyo kuziachia maana niliona kama pesa hazihitaji sanitization ya corona. ila kura hapati!
 
mbona sinabahati na watu kama hao
 
Hizi ni ATM angalau kwa miezi hii hadi November!!
 
Hizi ni ATM angalau kwa miezi hii hadi November!!
Nguvu za Magu zimewaweka pagumu sana! Wanahangaika kujitangaza kabla ya muda lakini wapi! Wengina ndo hao wanakurupushwa nyumbani.
 
2015 nilipewa Tsh 20000/= nipande bodaboda nikamchague mgombea wa CCM. nikaichukua ile pesa nikapanda daladala nikaenda kumchagua mgombea wa CHADEMA nikarudi zangu bar nikagonga monde za kutosha.

Nikiwa kanda ya ziwa nilishawahi kukutana na bwana mmoja ambaye alinithibitishia kwamba MAGUFULI aliwahi kumwaga manoti mengi sana wakati anagombea uraisi na yeye yule bwana ni miongoni mwa waliogawa zile pesa. huyu leo anasimama na kusema anaichukia Rushwa
hovyo kabisa hawa
 
Mkuu wewe mbona uliomba kuungwa mkono kwenye harusi yako hata kabala hujakubaliwa na wazazi wa uliyekuwa unamatamani? Umeleta hoja nzuri lakini kuitaja CCM na kuita rushwa imo kwenye vinasaba vya wana CCM umepotoka
 
Hiyo 20000 ya kwako huenda kweli ulipata lakini mahela mengi ya Magufuli ili apate urais ni hapana. Malalamiko ya uchaguzi wa rais yako kwenye vyombo vya dola na siyo mahela mengi. Mengi ya nini?
 
Mkuu wewe mbona uliomba kuungwa mkono kwenye harusi yako hata kabala hujakubaliwa na wazazi wa uliyekuwa unamatamani? Umeleta hoja nzuri lakini kuitaja CCM na kuita rushwa imo kwenye vinasaba vya wana CCM umepotoka
Naamini kufikia siku ya leo, na hasa baada ya kusikiayaliyotokea Arusha, sasa unaweza kuona wana CCM walivyo na roho ya rushwa.
 
Pammoja na kulamba bingo ya elfu 40,lakini majina matatu ndio mtayapigia kura,sasa anajuaje kama hatakatwa juu kwa juu?Au ameisha toa bahasha nzito ngazi ya taifa?
NAsikia wameruhusu utitiri wote tunaouona ukichukuwa fomu. Sasa wote wapaigiwa kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…