Baadhi ya wana JF shule hawajaenda japo darasani wameingia

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] basi mjifunze kwa wakubwa ili mpate baraka
 
Duu nimejikuta natoa like kwa kila aliyechangia hii mada...hongera sana Manase kwa mada nzuri sana...mimi ni muathirika mkubwa sana wa hao jamaa...naamini leo watapita kimyakimya hapa
Kaka Kwa Hii Lazima Wapite Kimya Kimya, Halafu Watu Hao Washazoea Mada Za Kichochezi Ndio Wachangia Au Waandike Nyuzi Lakn Zakujenga Wala.

Sipendi Hii Tabia Hata Adimin Na Wengine Walojaliwa Hekima Hata Chembe Hawapendi Pia.

Tuendelee Kuwaombea May Watabadilika.
 
Thanks, sir...

I love this... I remember once I read from someone, said "uovu na maovu yanayotokea, si kwa sababu ya kuongezeka kwa watenda maovu ila kukaa kimya kwa watenda mema"...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
[emoji102] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Kweli Mkuu Hili Nalo Ni Jipu.
 
Mkuu, Mimi nilitengeneza uzi wangu, nikawataja hao watu ambao wapo wapo tu kwa majina yao. Ingawa nimejaribu kuangalia naona umefutwa.


Niliuuta," I have made a shocking discovery, many people in JF are suffering from psychosis"
 
Bahati nzuri bado upo

https://www.jamiiforums.com/threads...s-in-jf-are-suffering-from-psychosis.1019789/
 
Anyway!Unafiki ni kitu kibaya sana imefikia mahali jamii ya kitanzania iwe real sio kujificha na usanii mwingi kuna hoja kwa mleta post ila naomba akemee hadi mtaani sio humu tu! kwa sababu manake....................
 
Mkuu, Mimi nilitengeneza uzi wangu, nikawataja hao watu ambao wapo wapo tu kwa majina yao. Ingawa nimejaribu kuangalia naona umefutwa.


Niliuuta," I have made a shocking discovery, many people in JF are suffering from psychosis"
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Wakati Mwingine Ukweli Huwa Unachukiwa Mkuu Japo Lazima Tuuongee Maana Hatuna Namna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…